... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Ulimi Wako na Moyo Wako

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Luka 6:45 Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.

Listen to the radio broadcast of

Ulimi Wako na Moyo Wako


Download audio file

Nataka kukuuliza?  Unawatendeaje watu wengine? … Wafanyakazi wenzako, familia yako, majirani  Wakati unawaangalia?

Majibu yako ya maswali hayo ni muhimu sana kwa sababu yanaonyesha yaliyomo moyoni mwako.  Kwa kuwa teknolojia imepiga hatua kubwa siku hizi, ni rahisi sana kujitenga kimwili na kihisia, na watu ambao tungekuwa na mahusiano nao. 

Lakini ghafla, tutajikuta gizani.  Mioyo yetu itaanza kuwa migumu kwao, na kuanza kuwatengenezea mambo mabaya  hatimaye, yatafurika yakitoka vinywani mwetu.   Huniamini? 

Luka 6:45  Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake. 

Yale tunayowaambia watu wengine yanadhihirisha yaliyomo mioyoni mwetu.  Jinsi tunavyowatendea inaonyesha wazi tunavyowawazia.  Ebu, turuhusu yafuatayo yazame katika mioyo yetu tena: 

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly