... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kumpinga Shetani

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Yakobo 4:7 Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.

Listen to the radio broadcast of

Kumpinga Shetani


Download audio file

Shetani ana shauku kubwa sana kuleta uharibifu moyoni mwako na ndani ya mawazo yako Usidanganyike.

Labda unaamini kwamba kuna mwovu duniani – Ibilisi, ayani Shetani, ni wazi kabisa kwamba Yesu aliamini kwamba Shetani yupo kweli kweli, na kama yeye aliamini, basi inanitosha. Lengo la shetani nikukushawishi usichukue msalaba wako wala usimfuate Yesu.  Anataka kukupeleka Jehanamu uishi naye pamoja na pepo wake wachafu milele na milele. 

Kama umewahi kushindana naye, utakuwa umeshagundua kwamba yeye ni mwerevu na mzoefu sana kwa kudanganya, wewe na mimi tungefanyaje ili tusinaswe

Yakobo 4:7  Basi mtiini Mungu.  Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. 

Tujue kwamba  kumnyenyekea Mungu na kumtii; tukiomba na tukimwendea tukiwa na shauku moyoni na kupokea maelekezo yake, maonyo, kutiwa moyo na kufahamu ukweli wake.

Kama vile Billy Graham aliyeweza kusema: “Zaidi ya yote, acha Neno la Mungu likujae na kufanya upya nia yako kila siku.  Wakati fikra zetu zinamlenga Kristo, Shetani hatakuwa na nafasi ya kutumia ujanja wake.” 

Basi mtiini Mungu.  Mpingeni Shetani, naye atawakimbia. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly