... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Samehe Bila Kuadhibu

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Wakolosai 3:13,14 Mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi. Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu.

Listen to the radio broadcast of

Samehe Bila Kuadhibu


Download audio file

Kuna njia nyingi sana ya kuonyesha upendo kwa watu wanaotuzunguka. Ni  kipaumbele kwenye agenda yake Mungu kwa ajili ya maisha yako na maisha yangu. Mtu Atafanya nini wakati mahusiano fulani yameishavunjika?

Ni swali linalokusumbua, si kweli?  Fikiria juu ya mahusiano uliyekuwa nayo ambayo leob hii yameshaharibika kabisa. Jaribu kukumbuka kidogo, sura ya mtu yule mliyekorofishana , na alikuwa mtu wa karibu, inaumiza zaidi, sindiyo? 

Kwa moyo wangu wote, ninajua kwamba Mungu anataka kukuweka huru na hisia zile mbaya – hofu, hasira, na hali ya kutokusamehe inayokulemea.  Sikiliza sasa: 

Wakolosai 3:13,14  Mkichukuliana, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi.  Zaidi ya hayo yote jivikeni upendo, ndio kifungo cha ukamilifu. 

Msamaha.  Ni funguo inayoweza kukuweka huru pia  madhaifu sehemu kubwa au ndogo kwa  binadamu wote. Sasa mtu akitoka kwenye hali ile ya uchu wa kumwona kuwa binadamu mwenzake aliyekosea, kidogo-kidogo, hasira itapungua na kumfungulia njia ya kumsamehe. 

Labda utaniuliza, “Kwanini  nifanye hivyo?”  Ni kwa sababu Bwana amekusamehe na ilimgharimu uhai wake.  Kwa hiyo … Mchukuliane, na kusameheana, mtu akiwa na sababu ya kumlaumu mwenzake; kama Bwana alivyowasamehe ninyi, vivyo na ninyi.  

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly