... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Unafiki wa Wakristo

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Yakobo 3:6-9 Nao ulimi ni moto; ule ulimwengu wa uovu, ule ulimi, umewekwa katika viungo vyetu, nao ndio uutiao mwili wote unajisi, huuwasha moto mfulizo wa maumbile, nao huwashwa moto na jehanum.

Listen to the radio broadcast of

Unafiki wa Wakristo


Download audio file

Ni lini mtu alikwambia kitu ambacho kilikuchoma, kilisababisha ushtuke, Jaribu kukumbuka, 

Nina jirani yangu ambaye daima ana maoni hasi, kila anaponiona anakuwa  tayari na maneno ya kunichokoza.Uutashangaa nikikwambia kwamba ninafurahi nikiweza kutoka kwetu au kuingia tena nyumbani bila kukutana naye. 

Ni maneno yapi wewe na mimi tunayotoa na kuwatamkia Wengine wanatuonaje baada ya kutusikia?  Na zaidi ya yote, Mungu anawaza nini? 

Yakobo 3:6-9  Nao ulimi ni moto; ule ulimwengu wa uovu, ule ulimi, umewekwa katika viungo vyetu, nao ndio uutiao mwili wote unajisi, huuwasha moto mfulizo wa maumbile, nao huwashwa moto na jehanum.  Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu.  Bali ulimi hakuna awezaye kuufuga; ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.  Kwa huo twamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo twawalaani wanadamu waliofanywa kwa mfano wa Mungu. 

Ndivyo ilivyo, si kweli?  Kwa kuvuta pumzi tu, sisi ambao tunajiita Wakristo tunamhimidi Mungu, lakini kwa kuvuta pumzi tena, twawalaani wanadaamu Mungu aliyeumba kwa mfano wake, watu ambao anawapenda. 

Ulimwengu unamchukia mnafiki.  Sidhani kwamba Mungu  anapendezwa na wanafiki.  Angalia sana yale unayoyasema. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly