... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Usifanye Kosa Hili

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Yakobo 3:2 Maana twajikwaa sisi sote pia katika mambo mengi. Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, awezaye kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu.

Listen to the radio broadcast of

Usifanye Kosa Hili


Download audio file

Wakati tunaangalia nyuma kwa yale yaliyopita, wewe na mimi  tunaweza kukumbuka wakati tulinena maneno yaliyowaumiza watu Uongo, Dhihaka  na kadhalika maneno ambayo yaliwaumiza moyoni.

Ni dhana yenye tafakuri Kwamba wewe na mimi tumeumiza watu maishani mwetu; kwamba tumeacha uharibifu pale tulipopita kwa maneno tuliyoyawaambia watu wengine.

Niliwahi kusikia mtu fulani akisema kwamba maneno ni kama machupa yanayobeba uwezo.  Na ni kweli.  Yale tunayoyasema na tunayotamka, yote mawili yanabainishia ni jinsi gani unamfikiria mtu mwingine.

Madhara yaliyosababishwa na maneno yetu, yanadumu maisha yote. 

Yakobo 3:2  Maana twajikwaa sisi sote pia katika mambo mengi.  Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu mkamilifu, awezaye kuuzuia na mwili wake wote kama kwa lijamu. 

Ni ajabu kabisa! .  Mtu asiyejikwaa katika kunena, huyo ni mtu … mkamilifu! 

Lakini kwa muda huu, jua hili:  maneno yana nguvu ya kujenga au nguvu ya kubomoa.  Kila neno tunalolinena, wewe na mimi, kwa sehemu, litatenda kimoja au kingine.  

Uwe mwangalifu kwa yale unayotamka. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly