-
Muumba Aliyekataliwa
Krismasi imekaribia sana, na kwa watu wengi, swala la Yesu linapuuzwa tu – hawamjali. Ni kuendelea tu na mambo ya sherehe kama vile mapambo ya mti wa Krismasi, vyakula ...
-
Kabla ya Majira Yoyote
Tayari, baada ya siku tatu itakuwa Krismasi. Je! Umechangamka? Hmm! Watoto bila shaka wanatarajia zawadi kwa shangwe, lakini kwa watu wazima wengi, wanaona ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Shangilia Sasa Hivi!
Baada ya siku chache itakuwa Krismasi. Krismasi yangu. Krismasi yako. Bila shaka tutaisherehekea mahali tofauti kwa jinsi tofauti. Lakini lazima ...
-
Urafiki Wako na Mungu
Sikukuu ya Krismas ambayo tutasherehekea baada ya siku chache, ni sherehe ya familia na rafiki, chakula kitamu na mapambo mengi. Lakini kumbe! Kuna rafiki mmoja ambaye ...
-
Mantiki ya Upendo
Kuna neno ambalo lilinisumbua miaka mingi. Inawezekana, tukielekeza mawazo yetu kwenye Krismasi, kwamba hata wewe umesumbuliwa nalo. Ni hili: Kwa nini Mungu ...
-
Neno la Kutafakari
Tukielekeza mawazo yetu kwenye Krismasi, tunakuta kuna jambo ambalo, kwa watu wengi, linakuwa kizuizi wasiweze kufurahia sherehe hii ya Krismasi kama ipasavyo. Kwa miaka mingi, ...
-
Katika Matatizo Yetu Yote
Leo hii, kama ungeandika kwa karatasi mambo yote ambayo ungependelea yasiwepo maishani mwako, mambo ambayo ungetamani uwe na uwezo wa kuyafuta moja kwa moja, orodha hiyo ...
-
Lengo ni Nini?
Hivi! Mungu alikuwa na makusudi gani kupanga habari hii ambayo kwa sasa tunaiita “Krismasi”? Ni kweli, Krismasi hii tunayeisherehekea leo imebadilika sana. ...
-
Krismasi Imekaribia
Kumbe! Imebaki siku kumi tusherehekee Krismasi. Siku kumi tu! Mwaka wetu huu umeenda wapi? Muda umepita kasi. Nadhani kadiri mtu anazeheka, ndipo ...
-
Wewe ni Mtoto wa Nani?
Mwenendo wako, jinsi unavyowatendea wengine vinadhihirisha kabisa jinsi wewe ulivyo na yale ambayo unayoyaamini. Kwa hiyo niulize, je! Unaenendaje? Unawatendeaje ...
-
Kuna Imani ya Uchawi
Leo ni siku ya Ijumaa tarehe 13. Siku ile na tarehe ile zikikutana, katika utamaduni wa magharibi, zinadhaniwa kuleta bahati mbaya. Haijalishi unaishi wapi, ushirikina ...
-
Usipotoshwe
Kukutana na watu wapya, kujenga urafiki si rahisi siku hizi. Maisha yamekuwa bize kupita kiasi, watu wakikutana kikazi tu, au kwa wengine, maisha yamekuwa ya upweke ...
-
kuishi ndani ya Kristo …
Ni jambo gumu sana kujaribu kuweka kichwa cha mzee mabegani mwa kijana; yaani kuwapa vijana wetu busara sisi wazee tuliojifunza kupitia changamoto za maisha kwa njia vijana ...
-
Matumaini Yaliyo Safi
“Usafi” ni neno ambalo tunalipenda. Mfano, dhahabu safi, furaha tupu isiyoghoshiwa … lakini je! Umewahi kukutana na mtu aliye safi kabisa? Yaana mtu aliye ...
-
Kristo Atakuja Tena
Kinachochanganya sana katika maisha, ni wakati mtu anafanya maamuzi fulani – mfano, kufunga ndoa, kufuata masomo fulani, kufunga mkataba wa ajira, au cho chote kile – hawezi ...
-
Mwana wa Mungu
Kadiri mtu anazidi kukomaa, ndipo inatakiwa azidi kuwa na busara. Lakini wakati mtu anazidi kutambua madhaifu yake kupitia changamoto za maisha, kuna kitu kingine ...
-
Nanga ya Tumaini
Tumaini, ukifikiri kidogo, ni hisia lisilo la kawaida kwa sababu kile ambacho tunakitumaini kwa tafsiri ya neno, bado hakina uhakika. Na hatupendi kutokuwa na uhakika, si ...
-
Mungu Hawezi Kusema Uongo
Kuna jambo moja ulimwenguni ambalo tunaloweza kutegemea kabisa. Hata ikiweje, hata dhoruba ikipigaje kwa nguvu kiasi gani, tunaweza kuwa na uhakika kwamba chini ya miguu ...
-
Mungu wa Tumaini Tele
Je! Umewahi kujiuliza ni mtu gani watu wanakutana naye wakati wanaonana na wewe? Yaani wanakufikirije mkikutana? Mtu anayechangamka au mtu aliyekatishwa ...
-
Kumbukumbu Iokoayo
Mema na mabaya – sisi sote tunaweza kuyatenganisha … au? Ni kama kutenganisha rangi nyeusi na rangi nyeupe, ni rahisi sana … au labda tunapendelea rangi fulani ...
-
Kumkaribia Mungu au Kujitenga Naye
Gari zinazoendeshwa na umeme zinaanza kupendwa na kuenea duniani. Ni sawa, ila mimi, nikifadhaishwa wakati simu yangu imeishiwa moto, kwa kweli nina mashaka kuhusu gari ya ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Nguvu ya Moyo Wako
Dalili ya mtu aliyekomaa ni wakati anajifunza kutokujitegemea. Sisemi awe na mtazamo hasi, hapana, bali akubaliane na madhaifu na mapungufu yake. Hii ni busara ya mtu ...
-
Walakini … Pendo
Bila shaka, pendo la mtu kwetu linakuwa bora wakati hatustahili; wakati anachukuliana nasi wakati tuna uchungu moyoni, wakati tunatenda kwa ujinga na ukatili. Hicho ndicho ...
-
Mwenendo wa Ujinga na Ukatili
Je! Umewahi kutoboa pulizo na sindano? Dakika moja ni pulizo nyekundu nzuri inayoelea angani. Ghafla inapasuka kwa kishindo kikubwa! Inabaki kipande kidogo ...
-
Mukoba wa Kuwekea Karamu
Sisi sote tunavyo vitu tunavyomiliki visivyo vya kawaida, vitu tunavyothamini sana. Ndiyo maana tunajaribu kuvitunza vizuri. Zamani, wakati nilikuwa mwanafunzi mdogo ...
-
Kusudi Lake Mungu
Uwezo wa kugundua kusudi la mtu ni muhimu sana. Kwa sababu si kila mtu aliye kama anavyoonekana mwanzoni. Si kila mtu atakayetimiza yale aliyoahidi kutimiza. ...
-
Wakati Pendo Linashinda
Katika mada za filamu, hadithi ya upendo bila shaka inapendwa zaidi kuliko mada zingine. Ni kweli kuna filamu zenye matukio ya kuvutia, vitendo vya ajabu na zingine za ...
-
Hali Inayoleta Ongezeko
Mtu akifuata vyombo vya habari, ataambiwa kwamba kanisa hua linafifia. Habari hii inawafurahisha makundi mbali mbali ya wapinzani. Lakini hao waandishi wa habari ...
-
Hofu, Amani na Faraja
Kwa kweli tunaishi katika kipindi cha hatari. Ukinunua gazeti utasoma jinsi wenye mamlaka, si kila mara lakini mara nyingi wanatenda visivyo. Pia, makanisa mengi ...
-
Umsifu Yeye Bwana
Kwa sehemu kubwa, jinsi mtu anavyopitia maishani – atakayoyapata, atakayoyatoa, atakayafurahia au la … inategemeana na mtazamo unaomtawala yeye. Nafikiri ...
-
Unifundishe Njia Yako
Je! Umewahi kutafuta njia pa kupitia ukiwa mahali ambapo hujazoea? Kaskazini ni wapi? Nitumieje ramani,? Stendi ya basi iko wapi? Hii basi inayokuja, ...
-
Hakuna Afananaye na Mungu
Sasa niambie, je! Unalinganisha maisha yako kuwa kama safari ya msafiri anayetafuta kitu? Jibu la wengi wetu lingekuwa, hapana, sio sana. Unajua, tuko bizi ...
-
Je! Mungu Unanisikiliza?
huu ni Ulimwengu ambao kuna kelele nyingi za sauti zinazoshindana, maoni tofauti, jumbe mbali mbali kwenye mtandao na kadhalika, zote zikitujia kwa pamoja, ni kama wote wonaongea ...
-
Mungu ni Mwema
Sijui kama umeshaona jinsi ilivyo rahisi kupoteza dira na kuacha kuzingatia yaliyo muhimu maishani kwa sababu ya kupambana na changamoto za kila siku? Ndiyo maana inatubidi ...
-
Mtazamo Ulio Mpana
Kuna mapambano mengi maishani. Sasa, mtu akiwa anapambana, anataka sana ashinde. Mara nyingi si muhimu sana mtu ashinde, lakini wakati mambo yanapamba moto, anaona ...
-
Ukristo Halisi
Kuishi maisha yako yote ukijaribu kupendeza wengine na kujipendekeza kwao ni kazi ngumu kwa sababu watu ni wa kubadilika badilika. Wanaweza kuwa pamoja na wewe leo … ...
-
Amani inaanzia Nyumbani
Sehemu nyingi duniani, ulezi wa watoto ni tofauti sana na jinsi ulivyokuwa zamani. Leo hii tunaweza kusema kwamba utofauti huo, kwa sehemu kubwa, umeleta madhara mengi ...
-
Msingi wa Amani Nyumbani
Kuwa ndani ya familia yenye upendo ni baraka kubwa, si kweli? Lakini hata kama uko ndani ya familia yenye upendo, bado ni kazi kulinda amani. Migongano ...
-
Kutawaliwa na Jeuri na Hali ya Kuchukizwa Daima
Je! Unaonaje? Wanaotawala nchi yako, au mkoa wako au wilaya yako, au kijiji au mji wako, wakoje? Kwa mtazamo wako, je! Wanatawala vizuri … au kama ...
-
Tumaini Halisi
Watu wengi wanao mtazamo hasi kabisa. Labda kwa sasa hivi hauko hivi, lakini najua kwamba umewahi kukatishwa tamaa, kama vile mimi. Swali lililopo ni hili, Je! ...
-
Mtikiso wa Neema
Wakati mtu anakuonyesha fadhili, hata katika jambo dogo, je! Inabadilishaje unavyomwona, jinsi unamtazama na kumtendea? Bila shaka, tendo la wema lilitokana na upendo, ni ...
-
Kuleta Amani
Swali: Je! Vita vinaishaje? Jibu: Baada ya mapigano makali, na maafa ya watu wengi pande zote mbili, hatimaye wanakubali kuketi mezani na kujadili swala la ...
-
Baraka ya Amani
Leo ni Siku ya Kusitisha Vita, wakati tunaelekeza mioyo na mawazo yetu kwenye mwisho wa Vita ya Kwanza ya Duniani Yote. Wakati ule, ilisemekana kwamba ile vita ilikuwa vita ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Uwe Mtakatifu
Ninashangaa nikiangalia maajabu wanariadha wenye vipaji wanavyofaulu kutenda, si kwa sababu ya vipaji vyao tu, lakini kwa sababu ya jitihada zao pia pamoja na mazoezi magumu ...
-
Amani Pande Zote
Ninajiuliza ni mapambano gani unayokabiliana nayo muda huu? Labda ndoa yenye shida kubwa, labda hali yako ngumu ya uchumi, labda kujiona kwamba hufai, labda hofu ya mambo ...
-
Ahadi ya Amani
Dunia hii inaweza kuahidi vitu vingi sana – ajira nzuri, mafanikio, pesa, likizo, gari mpya, hata viatu vipya au vipodozi vizuri. Lakini mwisho wa siku, hakuna vinavyoweza ...
-
Kupita Ufahamu Kabisa
Ingekuwaje kama mtu tajiri au mwenye mamlaka – mfalme au mwimbaji maarufu au mtu mashuhuri au mtu anayejulikana sana – kama angefika ili ale nyumbani mwenu? Nijibu, ...
-
Nifuate
Nadhani sio mimi peke yangu ambaye angekiri kwamba kuna wakati nimejiona kuwa sifai kabisa, kiasi cha kutatishwa tamaa na kuacha kufuata ndoto nilizokuwa nazo. Sijui wewe? ...
-
Mafuriko ya Baraka
Je! Umewahi kujaa furaha tele – aina ya furaha ambayo inabaki ndani yako hata wakati wa shida – kiasi ambacho ulishindwa kuizuia? Labda unafikiri … Unasema ...
-
Azimio la Amani
Kuna watu wengi sana ambao wanatumia nguvu nyingi za kihisia kwa kujaribu kukimbia yaliyotokea zamani, bila hata kujua wanachokifanya. Mimi nilikuwa hivi miaka mingi ...
-
Neema Iliyozidi
Siku hizi, ni kama ni kawaida mke kuacha mume wake kwenda kwa mwingine au mume kuacha mke wake vivyo hivyo, watu wakifikiri kwamba ni maamuzi tu ya mtu. Je! Hali hii ...
-
Zawadi Inayoendelea Kuleta na Zingine
Ninakumbuka zamani wakati wale Wakristo walikuwa wanaongea habari za Yesu na dhambi na msamaha na “kuokolewa”, na uzima wa milele na mengine mengi, kwangu ilikuwa kama ...
-
Inatosha Kabisa
Je! Umewahi kubana kidole chako kwenye mlango? Mambo yalikuwa shwari halafu ghafla maumivu yanapanda mkono na kuingia kichwani kwa ukali kabisa. Yaani inaumiza ...
-
Sisi Sote Tuna Haja Hii
Mara kwa mara, sisi sote tunajikuta katika hali ya kuhitaji kutendewa mema na kufadhiliwa na watu wengine ili tuweze kustahimili majaribu ambayo tusingeyapitia peke yetu. ...
-
Kubadilishwa na Neema
Kuna kipindi kila mzazi anakuwa na hofu kwamba mtoto wake anaweza kuingia katika kundi la wahuni; kwamba wale watu wanaweza kupotosha mwana wake au binti yake. Na kweli ana ...
-
Muongo Wewe!
Wengi wetu tunatamani kuwa na maisha yaliyobadilika. Kwa nini? Ni kwa sababu hakuna aliyekamilika.Tunafahamu kwamba tunayo mapungufu na madhaifu. Tungependa ...
-
Je! Unafurahia Matembezi?
Matembezi kwenye meli za fahari yamekuwa chaguo la kwanza kwa ajili ya likizo kwa watu wengi. Kwa kweli, mwaka jana watu zaidi ya miliyoni 30 walifanya matembezi, na baada ...
-
Wakati Ile Inakuja Bila Shaka
Ebu fikiria tafadhali habari ya dunia bila jua,kasha ukosekane na mwezi. Yaani giza endelevu bila mwisho. Katika mazingira kama haya, viumbe vyote duniani vyenye uhai ...
-
Kubadilishwa na Utukufu
Ninajiuliza, ukiangalia nyuma maishani mwako, ni yapi ambayo yamekutengeneza na kukubadilisha uwe mtu kama ulivyo leo? Ni watu gani, mahusiano gani, mazingira gani hata ...
-
Utukufu wa Mungu
Jua ikiwaka vizuri inasisimua mtu, si kweli? Sijui kama umewahi kujiuliza kwa nini? Kwa nini tunapendelea jua kuliko mvua; upepo mwanana badala ya upepo wa baridi? ...
-
Makusudi Ya Moyo Wako
Je! Ni lini uliwahi kusema kitu au kutenda jambo ambalo, baada ya kutafakari, ulifahamu kwamba ulikosea? Sasa, ulijiuliza kwa nini ulilifanya? Mara nyingi ...
-
Jihadhari!
Kuona mtu anajitanguliza na kujipendekeza daima haipendezi hata kidogo. Watu kusema au kutenda hadharani ili watu wawasifu inachukiza. Kwa nini wanafanya hivi? Juzi, ...
-
Hofu ya Kutokukubaliwa
Kuogelea kinyume na mkondo wa mto, yaani kusimama kidete kuhusu jambo ambalo rafiki zako, jamaa na jamii kwa ujumla hawakubaliani nalo ni jambo gumu kabisa. Ndiyo, watu ...
-
Mwawezaje Kuamini Ninyi …
Sijui kama umewahi kuona utofauti kati wa matamanio yako, jinsi ungependa kuishi maisha yako na hali halisi ya maisha yako ya kila siku na mwelekeo wake ulivyo? Kama jibu ni ...
-
kuongozwa na roho
Kuruhusu mtu mwingine kukuongoza, kwa wengi katika dunia hii ya leo, ni kero kabisa. Jamani! Nataka kufanya kama ninavyopenda mimi. Sitaki kufuata mtu ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Ujijenge Mwenyewe
Mwanariadha awaye wote atakwambia kwamba, ukitaka kupata nguvu zaidi, lazima ufanye mazoezi. Shida ni kwamba, wengi wetu, na mimi nikiwemwo, hatupendezwi na kufanya mazoezi. ...
-
kugeuzwa tabia
Nina uhakika kwamba wewe, kama vile wengi wetu, una mambo kadhaa katika tabia yako ambayo ungependa kuyabadilisha. Ungependa kuwa mtu bora katika hili au lile. Lakini ...
-
Kumpendeza Roho
Je! Naweza kukuomba leo uvute pumzi vizuri na kujiuliza swala hili: Je! Ninaishije maisha yangu? Ni kweli, maisha yana makona mengi tena yanasumbua. Lakini ...
-
Jinsi ya Kusafiri kwa Wepesi
Kuna sababu wale wanaofaulu katika mashindano ya wanariadha wanapata ushindi. Ni kwamba hawabebi uzito uzidiyo. Kama wangiubeba, wasingaliweza kushindina vizuri, ...
-
Kuwa na Jina Kuna Maana Gani?
Sijui kama ni shida kwako kama ilivyo kwangu kukumbuka jina la mtu, hata kama ametambulishwa kwangu punde tu? Ni shida kweli. Lakini jina la mtu ni muhimu sana kwake ...
-
Saizi Moja Haiwezi Kuenea Watu Wote
Nadhani sisi sote tumewahi kusumbuka sana wakati tunaongea na wakala au kupiga namba ya huduma kwa wateja – ikiwa benki, huduma ya umeme au maji, kampuni ya bima na kadhalika ...
-
Ujumbe Uliotoka Mwanzo
Pendo ni neno rahisi. Halafu ukitafakari habari ya kupendwa – kupendwa na wapendwa wako na kupendwa na Mungu – ni jambo linalopendeza sana kuliko yote. Kwa nini ...
-
Lengo Kuu la Upendo wa Mungu
Ninakuomba, thafadhali, jaribu kufikiria mtu anayekusumbua kuliko wote. Bado ukimtafakari, jaribu pia kukumbuka jinsi mlivyohusiana hivi karibuni. Kumfikiria hivyo ...
-
kuwa wa kwanza
Inawezekana wewe au mimi hatutakuwa wenye kukimbia mbio kuliko wengine, wala kuwa aliye na akili zaidi au atakayepata mafanikio kati ya kundi. Lakini kuna kitu ambacho ...
-
Matunda Yapasayo Toba
Je! Umewahi kujaribu kuachana na tabia yako mbaya? Sio rahisi. Hailishi kama ni uvutaji wa sigara, kula vibaya, umbeya au nini – kawaida mwanadamu anajitahidi ...
-
Dahana ya msamaha
Ninataka kuwa wazi mbele zenu. Zamani sikuwa mtu mwema hata kidogo. Tangu nilipokuwa kijana, nililenga ushindi na mafanikio, kwa hiyo nilikuwa tayari kukanyaga awaye ...
-
Kuwa Karibu na Mtu
Mtu ye yote aliyewahi kulea watoto anafahamu umuhimu wa kusherehekea mafanikio yao na kuwa karibu nao wakati wanaumia. Tunafahamu hayo kwa sababu ni silika ya ...
-
Utayari wa Kufundishwa
Ebu fikiria, wewe ni mama anayeandaa chakula kitamu, lakini kumbe! Katikati ya maandalizi yako, unakuta umeishiwa kiambato cha muhimu katika upishi wako. Unaenda ...
-
Kupokea Ushauri wa Mtu Aliyefungwa Jela
Kama mtu angekuandikia barua kutoka gerezani akikushauri jinsi inavyokupasa kuishi, je! Ungepokea ushauri wake? Naona ingetegemeana lakini bila shaka ungalikuwa na ...
-
Kumwita Mungu
Je! Umewahi kutenda jambo baya mno na kumwumiza mtu vibaya, mtu ambaye unampenda kiasi cha kutokuweza kufikiri kwamba unaweza kusamehewa? Unashindwa kufikiri jinsi ...
-
Je! Utaafikiana na Uovu?
Kuna wakati tunajikuta katika kitendawili cha maadili. Kwa upande mmoja, mtu anafahamu yaliyo mema na kwenye kiini cha moyo wake anataka kutenda haki. Lakini ushawishi ...
-
Unasimama Wapi?
Sijui kama umeshaona jinsi maisha yakiendelea shwari, unao watu wengi walio karibu yako, lakini wakati mambo yanaanza kukuharibikia, wengi wao wanatoweka? Hii ...
-
Mambo Ambayo Bwana Alikuandalia
Wakati unajaribu kuishi vizuri na kuwa mtu mwema mwadilifu, lakini wote ambao wanaokuzunguka wanatenda visivyo – unaweza kuanza kujiuliza, “Je! Kwa nini kujisumbua hivi, ...
-
Hekima Inayowawia Vigumu Watu Kuikubali
Wenye mamlaka na madaraka duniani – yaani watawala wa mataifa, mabiliyonea, mashuhuri, “washawishi” mtandaoni – wote wanafanana kwa mambo mawili. Kwa muda huu, kweli ...
-
Hekima Iliyokuwepo Kabla Dunia Haijaumbwa.
Sehemu za gazeti au kwenye mtandao zinazosimulia jinsi mtu anavyoweza kujiinua mwenyewe, zimejaa hekima ya kidunia inayoshawishi kwa njia mbali mbali, zingine za ajabu-ajabu na ...
-
Watawala Wakipoteza Mamlaka Yao
Mtu akichunguza mazingira ya ulimwengu huu, ataona kwamba kuna madikteta wanaotawala nchi baadhi, wanaoamuru watu jinsi wanavyopaswa kuishi hata yale ambayo wanayotakiwa ...
-
Nguvu, Upendo, Kimbilio
umeshakukutana na mtu ambaye mambo yake yote yanaonekana kuwa sawa? Ana ajira nzuri, ana hela za kutosha na familia inayopendeza sana. Juzi nilikuwa ninaongea na rafiki ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Nakupenda Sana
Nadhani hakuna kitu kinachotisha kabisa kama tetemeko la ardhi. Yaani ardhi chini ya miguu yako inayumba-yumba, wewe ukingoja jengo likuangukie pande zote na kukuseta chini ...
-
Maneno Mapya
Haijalishi unaongea lugha gani nyumbani, maneno mapya na sentensi mpya vinaongezwa kila wakati kwenye kamusi yako kuliko unavyofikiria. Lakini hilo si jambo jipya. Baba wa ...
-
Uwe na Moyo Safi
Nadhani sisi sote tumewahi kutendewa jambo zuri na mtu, na isitoshe- alikutendea kwa nia njema na moyo safi kabisa. Hii inapendeza sana. Lakini pia, nadhani umewahi kuona ...
-
Wakati Biliyonari Anafariki Dunia
Ulimwengu kwa ujumla, umetawaliwa na tamaa ya mali, si kweli? Pesa, pesa, pesa. Nawezaje kupata zaidi? Nawezaje kongeza mapato angalau kidogo ili niweze kununua ...
-
Je! Mungu Ananisikiliza Kweli?
Je! Umewahi kutembelewa na mtu aliyekuomba ushauri na ulipomshauri, ulijiuliza kwa nini alikujia? Ni kama hataki kujua. Ni kama hakusikilizi. Mwanangu mmoja, ...
-
Macho ya Kuona
Ni ajabu, ukitafakari kidogo, jinsi mitazamo yetu hasi na changamoto za zamani vikiunganika na hali ya kubanwa leo vinazidi kupotosha maono yetu … na hii inasababisha ...
-
Kujinyenyekesha
Wiki hii tumekuwa tuna masimulizi kuhusu ukubwa, ukubwa halisi. Sio ukubwa bandia unaotolewa na utamaduni wetu unaotafuta umaarufu, hapana; lakini ukubwa unaoweza kutikisa ...
-
Chumvi Isiyo na Ladha Tena
Chumvi ni kitu ambacho tunatumia kila siku kwa kukoleza chakula chetu kwa kuboresha ladha yake. Lakini hata kama chumvi ni muhimu sana kwa binadamu, mara nyingi hatuwazi ...
-
Si wa Kwetu
Ninaendelea kushangaa mno nikiangalia jinsi tumetawaliwa na ukabila na vikundi siku hizi, bila hata kufahamu. Hua inatokea kwenye michezo, na kwenye siasa pia, na hii ...
-
Kupanga Upya Vipaumbele Vyetu
Kuwahudumia watu wengine ni jambo ambalo tunafahamu linafaa tulifanye. Lakini kwa upande mwingine, mara nyingi tunaona kwamba ni usumbufu, haipendezi … hata kuwa ...
-
Dhana mpya Kabisa
Sababu kubwa ya watu kubishanabishana hapa duniani ni kwa sababu wanataka kujua ni nani aliye mkubwa; ni nani wa kwanza; ni nani anayeonekana kushangaza zaidi, ni nani kiongozi wa ...
-
Tabia Inayoaibisha
Shauku ya kusifiwa na kupendwa ni siri iliyomo moyoni mwa watu wengi. Mara nyingi inadhihirika katika maneno yetu na mienendo pia … na ikionekana hivyo, haipendezi. ...
-
Kutafutwa Sana
Ni rahisi mtu kujidanganya kwa kufikiri kwamba; yeye ni mtu muhimu duniani kuliko wengine; kwamba huduma zake zinatafutwa sana; yuko busy, busy, busy, na ndio lengo la maisha ...