... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Saburi na Utauwa

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

2 Petro 1:3,5,6 Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe ... Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa.

Listen to the radio broadcast of

Saburi na Utauwa


Download audio file

Kwa kuwa tuna maisha mara moja tu hapa duniani, na yenyewe yanapita kasi, huwezi kuishi maisha bora kama hutulii, kama una mashaka-mashaka.  , wengine kwa nje wanaonekana kwamba wametulia lakini mawazo yao bado yanazunguka-zunguka, wakimezwa na fadhaa.

Ndiyo maana jana, katika mlolongo wa mada hii inayohusu kuishi maisha bora, tulilenga kiasi na saburi.  Katika pirika zako na fadhaa za moyoni, karama ya Mungu kukuletea saburi inaweza kutuliza roho yako.

Ni karama kubwa na nzuri kwa ajili ya wao wanaoamini:

2 Petro 1:3,5,6  Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe … Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa.

Mimi naona kwamba itakuwa vigumu kuwa mcha Mungu kama mtu hajaruhusu amani ya Mungu pamoja na uvumilivu utokaao kwake kutawala moyo wake.  Kwa sababu mtu akiwa na amani hiyo, akielewa kama amekirimiwa.  Hii ndio utauwa, kumcha Mungu.  Ndivyo inavyofanana.

Je!  Unataka kuishi maisha bora kweli kweli?  Basi, katika imani yako tia wema, na katika wema wako maarifa, na katika maarifa yako kiasi, na katika kiasi chako saburi, na katika saburi yako utauwa. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy