-
Unamfuata Nani?
Ni lini tuliamua kwamba hisia zetu zikichanganywa na maadili yanayooza ya dunia hii ndivyo tutakavyoweza kusadikisha au kubatilisha ukweli wa Neno la Mungu? Hii imetokeaje? ...
-
Mahali Unapokimbilia Mara Moja
Jaribu kufikiri kwamba, uko ndani ya mtumbwi halafu dhoruba inakuja ghafla. Upepo mkali unavuma, mawingu yanajikusanya, mawimbi yanaanza kuyumbisha mtumbwi wako … ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Usijichoshe Kupita Kiasi
Inaonekana kwamba njia ya kupiga hatua katika maisha ni kuvutia watu, yaani kuwashawishi kwa uzuri wetu na akili zetu. Ndio maana mara nyingi wanasema mtu “amejivika na ...
-
Si Kujitupa Gizani
Kwa yule aliye nje ya imani, anaweza kufikiri kwamba kuamini kwamba huyu Yesu ni Mwana wa Mungu ni hatari. Wengi wanafikiri swala zima la imani ni kama mtu kajitupa gizani bila ...
-
Kwa Tahadhari
Kuishi kwenye si rahisi siku zingine. Kuna mambo mengi yanakusanyikia juu ya ndoa ili ivunjike – mfano, ule uongo unaosema kwamba kupeana talaka ni kawaida, ni hiari ya mtu, ...
-
Je!, Watu Wanaweza Kukuamini?
Swali ninalokwenda kukuuliza labda litakusumbua, Je!,Wewe ni mwaminifu? Au tuulize swali lingine ambalo yamkini ni muhimu zaidi, je! Familia yako inaweza kukuamini?, ...
-
Kupanga Uelekeo
Najiuliza hivi, unapotathimini unatathmini afya ya familia yako kihisia na kiroho, unagundua nini? Unafurahi kwa hali yao au ni kitanzi kinachotokea machoni pako? Tulipokuwa ...
-
Kuvunja Pingu za Kale
Ni kitanzi kikubwa pale dhambi inarithiwa kizazi baada ya kizazi, Mtoto wa mlevi atakuwa na mwelekeo wa ulevi kuliko watoto wengine. Mtoto aliyedhulimiwa pia, akiwa mtu ...
-
Familia Kamilifu
Bila shaka umewahi kuwaza mara kwa mara: “Laiti familia yangu ingetengamaa kama familia zingine!” Najua umewahi kufikiri hivyo, kwa sababu bado tunaamini hadithi ile ya ...
-
Familia Iliyovurugika
Unaweza kuwasikiliza wahubiri kama tulivyoongea habari ya familia kamilifu ya kikristo na namna inavyopaswa kuwa. Lakini je!, Itakuaje kwa familia zilizovurugika? Itakuaje kwa ...
-
Maswala ya Familia
Itafikia wakati kila mmoja wetu atapaswa kuamua mwenyewe kama atamwamini Yesu na kumtumikia kama Bwana wake au kumkataa na kufuata njia yake mwenyewe. Hakuna njia ya katikati. ...
-
Kukaa Bila Kuoa au Kuolewa (2)
Leo ninataka kukushirikisha jambo la maana sana kuhusu wao wanaoendelea kukaa bila kuoa au kuolewa. Labda wewe si mmojawapo lakini bila shaka unafahamiana na mtu wa namna ...
-
Kukaa Bila Kuoa au Kuolewa (1)
Hata kama watu karibu wote wanafunga ndoa, si wote wanaendelea kudumu kwenye ndoa zao. Kinachonihuzunisha ni kwamba, wengine wanawaangalia na kujiuliza kama wana tatizo au ...
-
Mahusiano ya Wasiwasi
Ukichunguza dunia ilivyo leo, tukiwa na mitambo na vyombo vinavyoshikika mikononi na vyenye uwezo mkubwa kuzidi kompyuta kubwa za zamani, imekuwa rahisi sana watu kutokuwa ...
-
Kuachana kwa Talaka (3)
Swali lililopo ni hili, je! Mungu anaruhusu talaka? Ni mada yenye mvutano mkubwa.Makanisa mengi wanachukulia talaka kama dhambi isiyoweza kusamehewa wakifundisha watu kwamba ...
-
Kuachana kwa Talaka (2)
Mimi kama mtu aliyepitia maumivu ya talaka, nakwambia kwamba mtazamo wa jamii wa kisasa kuhusu ndoa unanishangaza sana, wakisema, “kinachopatikana kwa urahisi hupotea kwa ...
-
Kuachana kwa Talaka (1)
Uasherati na kupeana talaka siku hizi ni kama kawaida, watu wanafikiri kwamba haina shida, kwamba ni hiari ya mtu badala ya kuviona kuwa usaliti na kutenda mambo ya hiana. Lakini ...
-
Kutengana Bila Mwelekeo
Familia zetu ni muhimu sana kwenye maisha. Lakini familia nyingi zina matatizo kweli. Familia nyingi wanazo “ishu” nyingi tuseme. Pia, na ni huzuni kabisa kulisema, familia ...
-
Makosa Wamama Wanayofanya (2)
Mwanamke mgomvi ni kitu kilichochakaa kisichopendeza ingawa wanawake wengi wanachukia na kupinga kwamba si kweli. Ni sawa, wana haki kusema hivyo. Lakini hata hivyo, bado kuna ...
-
Makosa Wanawake Wanayofanya (1)
Mimi naona kama kosa kubwa la akina mama wanalofanya katika ndoa zao ni hili: wanapoanza kupata uzao, wanaweka wanaume zao kwenye nafasi ya tatu, nne au ya tano katika ngazi ya ...
-
Makosa Wanaume Wanayofanya (2)
Wanaume wengi sana wamehama kihisia kwenda mbali na familia zao – ni kama wamejiuzuru kwa nafasi ya kuwa mume na baba mzazi pia. Na hili ndilo kosa kubwa kuliko yote wanaume ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Makosa Wanaume Wanayofanya (1)
Kusema ukweli, wanamume mara nyingi wanakuwa wakali kwenye familia zao. Sitanii! Kwasababu moja ama nyingine, hatutafakari yale familia zetu zinahitaji kwetu, kwahiyo ...
-
Watu Ambao Hawajakamilika
Hili ni swali linalosumbua. Ni yupi katika familia yako anayekusumbua sana? Si nilikwambia kwamba ni swali gumu! Usikwepe! Ni mume wako au mke wako?, ni mtoto ...
-
Siyo Njia Rahisi
Sijui kama utaniruhusu nikikuulize swali sasa hivi? Familia yako inaendeleaje? Je! Mahusiano ya kifamilia yana kina gani? Yana nguvu kiasi gani? Kwasababu kusema ...
-
Kusudi Kubwa la Mungu
Mara nyingi tunawachukulia wanafamilia kikawaida tu. Wengi wetu tumekulia katika familia. Wengi tumeanza kujenga familia zetu. Lakini kuna wakati mambo hayaendi kama ...
-
Leta Tabia Yako Mbele za Bwana
Kuna ukweli wenye nguvu ambao haipaswi utuponyoke. Mungu anataka kutusaidia, wewe na mimi, ili tuweze kuishi kwenye ushindi ule Yesu alioupata kupitia kifo chake na ufufuo ...
-
Kustahilimi si Kukaa tu
Majaribu ya kutenda mabaya huwa yanatujia kila siku. Na tunaweza kushindwa kama wengi wanavyoshindwa au tunaweza kustahimili na kusimama imara. Sasa kwako wewe itakuwaje? ...
-
Uwezo wa Tabia Njema
Jambo lenye nguvu sana maishani mwetu – nguvu iletayo mema au mabaya – ni tabia tunazojizoesha (kwa wema) au tabia mbaya zinazotuangusha (ndani ya uovu). ...
-
Jiepushe na Tabia Hii Mbaya
Pale wewe na mimi tunapoweka tegemeo letu ndani ya sisi wenyewe, au ndani ya vipaji vyetu, tunaweza kujiamini kupita kiasi. Lakini mtu anapomtegemea Mungu, kwa kweli hawezi ...
-
Ulishike Sana Ungamo Lako
Kwa mtazamo nilio nao mimi, hakuna kazi nzuri kama kuwa mtu anayepeleka habari njema. Na leo si kwamba nina habari njema kwa ajili yako, yaani nina habari njema mno. Dua ...
-
Usiutupe Ujasiri Wako
Kuwa na ujasiri kunaweza kutuletea uwezo katika maisha yetu, ikiwa tunategemea yaliyo sahihi. Sasa katika mapambano ya maisha haya, acha nikuulize, Una ujasiri kiasi gani? Kama ...
-
Shauku ya Kubadilishwa
Kila mtu anatamani kuwa na maisha bora – kwa tafsiri yake anayoijua yeye. Lakini kwa watu wengi, kumekosekana kitu cha kizembea kinachosababisha wasipate kuishi maisha bora. ...
-
Kwa Hiyo, Usiogope
Je! Unamwamini Yesu? Kama unamwamini Yesu, basi imani yako ndani yake imekusudiwa kukupa ushindi. Ushindi dhidi ya dhambi yako na ushindi juu ya mazingira yako. Kwa ...
-
Chanzo cha Imani ni Kusikia
Kwanini watoto wanahitaji kutiwa moyo lakini pia kurudiwa na wazazi na walimu, mara kwa mara ili waweze kujitegemea na kuwa na matumaini ya namna watakavyoishi katika mfumo wa ...
-
Kutathmini Upya Wale Unaokuwa na Urafiki Nao
Haitakiwi imani yetu ndani ya Mungu, wewe na mimi, iwe kama mwezi unaopevuka na kupungua. Hapana. Kusudi lake Mungu ni kukuza imani yetu na kuiimarisha kupitia milima na ...
-
Usiruhusu Imani Yako Ififie
Je!,Umewahi kujikuta kwamba imani yako inaanza kupungua?, Mwanzoni, yaani zamani, ulikuwa unawaka moto kabisa kwa ajili ya Bwana. Lakini moto ule umefifia, umebaki kama kaa ...
-
Maisha Yenye Uwiano Mzuri
Kama mtu angekujia na kukupa ofa ya kuridhika, yaani kutoshelezeka na maisha yenye matunda na uwiano mzuri, je! Ungepokea ofa yake? Nadhani wengi tungeipokea. Ni kweli ...
-
Kwa Nini Watu Wanajichosha Hivi?
Mimi kama mtu anayekubali kwamba lazima tujitahidi kazini (kama ninavyofanya mimi mwenyewe!) nimegundua sasa kadiri ninavyozidi kuzeheka na kuongezeka busara, naona kama ...
-
Na Tazama …
Aliyeoa au aliyeolewa atakwambia kwamba kuna wakati mke au mme anafanya kitu ghafla ambacho mwenzie hakutazamia hata kidogo. Unakuta Ulidhani unamfahamu vizuri lakini kumbe! Tena ...
-
Hakuna Huduma Ndogo
Ninachokitaka mimi ni kuwa muwazi mbele yako. Muwazi na mkweli kabisa. Kwasababu, na mimi ni mtu mdhaifu kama wewe, mtu ambaye hajakamilika. Kwahiyo leo ni siku ...
-
Kuwaonekania Wenye Shida
Nadhani ninaweza kusema kwa uhakika kwamba, wewe na mimi, tuna watu tunaofahamiana nao, ambao sasa hivi wako wanapitia vipindi vigumu. Na mara nyingi, usibishe tafadhali, ...
-
Krismasi Mwezi wa Saba
Inategemeana mahali unapoishi, lakini swali ninaloenda kukuuliza labda litaonekana kuwa la tofauti kabisa. Je!, Umewahi kusherehekea Krismasi mwezi wa saba? Sitanii. ...
-
Maana Halisi ya Ufalme
Wakristo wanaongea sana kuhusu “Ufalme wa Mungu”; yaani wanautamka kwa urahisi. Sana, Lakini tutafakari kwanza. Hivi tunaelewa kabisa maana yake? Je!, Tuko tayari ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Unabii – Je! Ni Kweli au Si Kweli?
Kuna watu wengi ninawasoma kwenye mtandao wakijidai wao kuwa ni mitume, manabii na kadhalika. Ndio, ni kweli hivyo ni vipawa Agano Jipya linavyotaja. Lakini vyote ni ...
-
Kuvumilia Tu … au Kushinda?
Katika yote yanayotokea ulimwenguni bila kutaja shughuli za kila siku, wengi wanavumilia tu, wakipambana na maisha. Lakini ingekuaje kama lengo la maisha ni zaidi ya ...
-
Hisia Yako Kali, Wito Wako
Kama umewahi kujishughulisha na biashara ya matunda, kama mtu anayewajibika na kuzalisha matunda mema na kuyafikisha sokoni. Basi hiyo ndio kazi waliyoitiwa wafuasi wa Yesu. ...
-
Injili Haiwezi Kunyamazishwa
Kuna nguvu na mamlaka duniani ambazo zinatafuta kunyamazisha Injili, Habari Njema ya Yesu; kuwanyima watu wa Mungu wasipate nafasi ya kutangaza habari ya upendo ambao Mungu ...
-
Kubarikiwa Kupita Kiasi
Sijui kama unatarajia kupata baraka gani hivi karibuni kutoka kwenye mkono wa Mungu!, ulikuwa unamwomba nini? Ni kipi cha kwanza katika orodha ya mahitaji yako, hmm? ...
-
Turudie Mambo Kadhaa
When you’re travelling down a rocky road, when life is more down than up, the reality is that even the kindest and most encouraging things that someone has to say to you somehow ...
-
Hali Inayovunja Matumaini na Kukatisha Tamaa
I don’t know about you, but I get up out of bed each day hoping and believing for the best. A new day, new opportunities … but some days, things simply don’t work out that ...
-
Yote kwa Yesu
No matter who you are, where you live. or what your circumstances may be, there are always going to be some things that you just don’t want to do. And the more of those you ...
-
Mshukuruni Mungu!
Gratitude is an attitude that has a lot of positive benefits. In fact, studies show that grateful people are happier, healthier, and sleep better! So the question is then, are you ...
-
Mtego wa Mapokeo
Traditions have their upside and their downside. On the one hand, they provide a moral fabric to our behaviour within society … which is a positive thing. On the other hand, ...
-
Katika Kristo Tu
As social creatures, you and I need to develop both our independence and our interdependence – the ability to rely on ourselves, and the ability to cooperate with others. Makes ...
-
Visivyoweza Kutetemeshwa
Ukatili wa dunia hii dhidi ya imani ya Wakristo umeendelea tangu miaka elfu mbili. Lakini siku hizi uvamizi huo umefikia msisimko mkubwa sana, Wakristo wengi wakiuawa katika ...
-
Kilio cha Kuomba Msaada
Kazi mojawapo ya mzazi ni kulinda watoto wake. Na mimi kama mme, baba na sasa babu, ni wajibu ambao ninakubali kwa dhati kabisa. Sasa kwa nini mtu angefikiri kwamba ...
-
Bwana Asimame Upande Wako
Tukijaribu kuishi kila siku kwa kumheshimu Mungu tu na kumfuata Yesu popote pale anapotuongoza pamoja na kujiepusha na uovu unaoenezwa na dunia hii: Miaka iliyofuata kifo, ufufuo ...
-
Yesu Alikuja Ili …
Ninawiwa leo niongee na wewe kuhusu jinsi ulioweza kuridhiana na mambo madogo maishani mwako. Yaani, dhambi zile “ndogo-ndogo” ambazo unadhani kwamba hazina tatizo, zile ...
-
Kupanda na Kushuka
Sijui wewe unawaza nini, lakini mpango nilio nao kwa ajili ya maisha yangu ni kwamba niendelee shwari tu, nikiwa na siku kadhaa za kuchangamka zaidi, Je! Unaonaje, si mpango ...
-
Kuwa na Nguvu Zaidi
Lazima ukubali kwamba hata kama wewe ni mtu mwenye nguvu, bado sisi sote tunajisikia kuwa wanyonge – tukikosa nguvu ya kupambana na mambo maishani mwetu. Bila shaka hata wewe ...
-
Maneno Usingependa Kuyasikia
Ukosoaji haupendezi, unatonesha kabisa, unaumiza, ni kweli, mimi sijakamilika lakini sipendi kusikia watu wengine wananisema. Kuna kozi ya uongozi ninaifatilia siku hizi na ...
-
Onyo Kali
Nikwambie kinachonitisha: ni watu wanaojifariji wakijiona kuwa wema tu, wanaoishi kufuatana na “kanuni za kikristo” kwamba watakuwa salama Siku Za Hukumu. Mtazamo kama huo ...
-
Kiburi Huwa Kinaathiri
Kwa miaka mingi sasa, nimekutana na watu wenye akili, watu ambao wamefanikisha mambo yao kabisa. Sijui wewe? Watu wanaoweza kukamilisha mambo makuu kuliko wewe na mimi. ...
-
Amani Bora Sana
Kuna wakati maisha yetu ni kama mtu amefuliwa ndani ya mashine ya kufua nguo na hatimaye kuwekwa kwenye mashine inayokausha huku akizungushwa zungushwa hadi nguvu zake zote ...
-
Alama za Vidole
Ni huzuni kujilinganisha na watu wengine halafu hatimaye tunajionakama hatufai. Mimi sina akili, mimi sikimbii mbio, mimi sina sura nzuri, mimi sifanikishi mambo yangu kama ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Usitapanye Uhuru Wako
Haya, ni tarehe 4 ya mwezi Julai. Hata uwe unaishi wapi kwenye dunia yetu, huwezi kukosa kufahamu kwamba huko Marekani ambayo ni nchi tajiri kuliko zote, ni siku ya kuadhimisha ...
-
Imani kwa Ajili ya Siku Zijazo
Je!, umewahi kuhisi kwamba ahadi za Mungu zimekukwepa? Kwa kweli unatamani kusimama imara kwenye ahadi zake, lakini kwa njia moja au nyingine, hazionekani kwako. Kama ...
-
Kama Mfu … Lakini Mungu!
Kuna wakati Mungu anatupeleka mahali pasipowezekana, tukae pale kwa kipindi fulani katika “hali ya imani hatarishi”. Sasa mtu atastahimili mpaka lini? Ni lini itampasa kuamka ...
-
Kutoka Hema Hadi Mji
Kuna kosa kubwa tunalolifanya wewe na mimi, ni kufikiri kwamba mipango ya Mungu inatulenga sisi na starehe zetu na manufaa yetu tu. Ni kosa kubwa kwa sababu mipango yake ni ...
-
Lakini Sielewi!
Mzazi yeyote anafahamu namna inavyokatisha tamaa pale anapomwambia mtoto wake kufanya jambo fulani na yeye kuitika kwa kudai, “Kwa nini afanye?!” kama sharti kabla ya ...
-
Ni Swala la Moyoni
Labda umesikika wanavyosema kwamba pasipo imani haiwezikani kumpendeza Mungu. Ni kweli. Maneno hayo yametoka moja kwenye Neno la Mungu, yaani kwenye Waebrania ...
-
Fumbo Kubwa la Imani
Kutokana na nadharia ya sayansi wanasema, vitu vyote vilitokana na “mripuko mkubwa” uliotokea miaka ma-bilioni yaliyopita. Lakini ni nani aliyeandaa tukio lile na ni kipi ...
-
Imani Dhaifu, Inayoyumba-yumba Lakini Yenye Unyenyekevu
Rafiki yangu mpendwa, aitwaye Lowell Wertz, amekuwa sasa mishionari barani Afrika zaidi ya miaka 40. Jana nikulishirikisha changamoto yake ya kwanza wakati Mungu anataka awe ...
-
Kuthubutu Kujihatarisha kwa Imani
Mimi binafsi naona kama dini, au kuwa mfia fidi ni zoezi bandia tu. Mtu anapitia mazoezi yote, lakini mwishowe, haizai chochote. Sijui kama umeshashuhudia hayo? ...
-
Tayari Amedhibiti Kila Jambo
Tunaposhindwa kudhibiti hisia zetu – hasira, hofu, kujiona kwamba hatufai chochote kile– zinatunyima amani ya Mungu. Sasa tukikosa amani, tutajikuta hatarini kwa sababu ...
-
Kilicho Muhimu Zaidi
Kupanga yaliyo kipaumbele sio rahisi pale unapokuwa na majukumu mengi. Lazima utimize hiki na kile na kingine tena, kwahiyo ni pirika-pirika tu, mtu akizunguka kama kuku ...
-
Kusameheana
Hasira ni hisia inayoibuka mioyoni mwetu mara kwa mara pale tunapojisikia tumeonewa, sababu ni nyingi tu. Na huu ni muitikio wa kawaida kabisa. Hata kama ni kawaida ...
-
Maisha Yako Mapya Yanatakiwa Yawe …..
Pale mambo hayaendi kama ulivyotazamia, pale watu hawaendi sambamba na wewe ni rahisi kuwalaumu au kulaumu mazingira yako na hata kumlaumu Mungu. Ndivyo tulivyo ...
-
Martha au Mariamu
Mara nyingi huwa nina kazi za ziada, nikiwa bize sana kwa kutimiza wajibu wangu huwa inaniwia vigumu kutenga muda mzuri kukaa na Yesu kwa sababu ya uchovu mwingi. Je! Wewe ...
-
Hatia na Fadhaa
Kuendela kujisikia kwamba una hatia kwa sababu ya makosa uliyoyafanya zamani pamoja na kuwa na fadhaa kwa kufikiria itakavyokuwa mbeleni, ni kama pande mbili za sarafu moja. Na ...
-
Njoo Unywe
Je!, Umewahi kuamka asubuhi na kujikuta kwamba imani yako ndani ya Kristo ni kama imekauka na kuna ukame ndani yako ukitambua kwamba imani imepungua sana? Bila shaka umewahi ...
-
Paza Sauti Kutoka Kilele cha Mlima
Kuna wakati najaribu kufikiria ilivyokuwa kwa watu pale amani ilipopatikana baada ya Vita ya Kwanza na Vita ya Pili ya dunia. Yaani nafikiri iliwawia vigumu kukubali kwamba kweli ...
-
Mageuzi Makubwa
Kuna wakati tunaona taabu tupu mbele yetu, Lakini ni kwenye vipindi vigumu Mungu ndipo Mungu kwa mtazamo wake huwa anaona fursa kubwa ya kutuletea mabadiliko kuliko ...
-
Wosia wa Baba kwa Mwanaye
Mahusiano ya kipekee tunayoweza kuwa nayo maishani ni kuwa mzazi. Lakini hata kama wewe si mzazi, bado unaweza kufikiria namna mahusiano ya kipekee. Sisi kama wazazi ...
-
Furaha Katika Tabu
Je! naweza kukuuliza ni yapi yanayokuletea furaha? Kwenye kiini cha moyo wako, ni yapi yanakujaza furaha? Halafu, furaha ile inakuaje pale mambo yanapokubadilikia na ...
-
Kitu Kinachovutia
Yesu akitamka, ni bora tumsikilize vizuri, wewe na mimi, kwa sababu maneno yake yamejaa maana na uwezo. Sasa maneno machache ninayotaka kukushirikisha kwayo siku ya leo, ...
-
Haina Makona
Zamani za kale, watu wa Mungu walitoa sadaka za kuteketezwa kwenye madhabahu. Kwetu siku hizi tunaona kama ni jambo geni kabisa lakini zamani ilikuwa kawaida. Sasa sisi ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Ahadi Zilizodhaminiwa
Nina swali kwako, je!, Unaweza kuamini ahadi za Mungu? Kuziamini kweli kweli pamoja na misukosuko tuliyonayo hapa duniani?, je! Bado ahadi za Mungu zinasimama pale pale, au ...
-
Kuishi Katika Ushindi
wanadamu wanapozidi kuwa na matengano kwenye masuala ya jamii, siasa na dini, pale majadiliano yanapokuwa ni ugomvi mtupu, na ule utengano ukizidi kupanuka, ni rahisi sisi kuzidi ...
-
Kwa Ajili ya Mmoja Tu
Inakaribia miaka thelathini sasa tangu baba yangu mpendwa aage dunia. Bado namkumbuka. Bado natamani angekuwepo ili tuongee. Si alikuwa baba mzazi? Lakini najiuliza, ...
-
Kufanya Makosa
Kinachosumbua zaidi maishani ni pale mtu anapodhamiria kutenda haki, lakini kwa njia moja au nyingine hafikii lengo lake. Au labda ni mimi tu peke yangu? Hapana, ...
-
Kumpendeza Mungu
Tumaini letu tulilo nalo sirini ni kwamba tukimfuata Yesu, tukimtii basi atatubariki. Afya njema, mali na hekima. Hilo ni tumaini. Lakini kwenye kiini cha moyo, kwamba yawezekana ...
-
Kuna MabadilikoYoyote?
Yesu alipokuwa anatembelea njia zenye vumbi Israel karne ile ya kwanza, alisema na kutenda mambo ya ajabu yenye nguvu. Watu wengi mno waliguswa na walibadilishwa. Na ndio ...
-
Haina Makona Mengi
Watu wanasumbua, si umeshaona? , kuna wengine wanasumbuana sana, sana! Soi hivyo tu, kuna wakati wanatutendea vibaya tena kwa makusudi. Sasa, ni mara ngapi ...
-
Kupendwa Hata Kama Hatustahili
Kuna watu wanaweza kuchukizwa nasi kwa sababu zisizoeleweka au hata kinyume cha haki kabisa. Ni kweli, hata mtu afanyeje hawezi kupendeza watu wote. Lakini hata hivyo, ...
-
Mwisho wa Dunia
Siku moja mambo yote tunayothamini duniani – mahusiano yetu, mali zetu na hata sifa tulizo nazo – vyote vitapita. Yaani yale yote tunayoyafanya kama kipaumbele ...
-
Kutamani Mambo ya Duniani
Unafiki ni tabia mbaya mno tena ya hatari kama tukiiruhusu kuingia ndani ya maisha yetu – hususani pale wanaodanganywa ni sisi wenyewe! Tunakiri kwamba tunamwamini Yesu ...
-
Maombi Yangu kwa Ajili Yako
Leo ninataka kukushirikisha jambo ninalolionea shauku kubwa; jambo linalonipa motisha, linalonisukuma kufanya ninachokifanya. Ni hili – kutaka kuona unavyokua na ...
-
Ukitenda Mema
Tunaishi kwenye ulimwengu ambao yale tuliyokuwa tunajua kwamba ni maovu – kama uroho, tamaa, uzinzi na kadhalika – sasa yanaitwa mazuri tena yanapongezwa. Ole kwa ...
-
Kuteswa Pamoja na Kristo
Kuteswa ni mada ambayo ninapenda kuirudia mara kwa mara, nataka nielemishwe zaidi na kupiga hatua mbeleni na ninatarajia kwamba inaweza kukusaidia pia katika hatua hizo. Ni ...