... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Umeteuliwa

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

1 Wakorintho 1:2 Kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, wale waliotakaswa katika Kristo Yesu, walioitwa wawe watakatifu, pamoja na wote wanaoliitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo kila mahali, Bwana wao na wetu.

Listen to the radio broadcast of

Umeteuliwa


Download audio file

Mimi ninajiuliza ingekuaje kuwa mchezaji maarufu, mwanamume au mwanamke, aliyechaguliwa kuwakilisha taifa lake kwenye mashindano ya kimataifa.  Ni heshima kubwa, ni fursa kubwa.  Ni la ajabu kabisa!

Yamkini wewe ni mmojawapo wa wenye kupata heshima kama hiyo, au labda, kama mimi haumo.  Wengi wetu ni watu wa kawaida tu, tukijulikana na familia, marafaki na wao ambao tunaofanya nao kazi, basi.  Tukisema kweli, mara nyingi tunapuuzwa na watu wote wengine.

Ni kweli, Mungu hana haja ya kuchunguza sana.  Tayari anatufahamu kabisa.  Halafu wewe, machoni pake, una umuhimu mkubwa, kiasi cha kukubali kumtuma Yesu afe kwa ajili yako, ili uweze kuishi naye kuanzia sasa hadi milele.

Kama ujumbe huu unasikika vizuri kwako, kama unaouamini na moyo wako wote, basi ujue yafuatayo:

1 Wakorintho 1:2  Kwa kanisa la Mungu lililoko Korintho, wale waliotakaswa katika Kristo Yesu, walioitwa wawe watakatifu, pamoja na wote wanaoliitia jina la Bwana wetu Yesu Kristo kila mahali, Bwana wao na wetu.

Je!  Ulizingatia kilichotamkwa hapo?  Umeteuliwa naye kuwa mmoja wa watu wake watakatifu, waliotakaswa kwa lengo maalum; kuwa sehemu ya jamaa zake; kumwakilisha katika ulimwengu huu uliopotea na kujaa maumivu.  Rafiki yangu, umeteuliwa kuwa mmoja wa watu watakatifu wa Mungu. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.