... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Utauwa na Upendano wa Ndugu

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

2 Petro 1:3,5-7 Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe ... Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa, na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.

Listen to the radio broadcast of

Utauwa na Upendano wa Ndugu


Download audio file

Wema na huruma ni mambo yanayoweza kuleta mabadiliko makubwa hapa duniani.  Hata tendo dogo la kumhurumia mtu linaweza kuboresha maisha yake mara moja.  Kama vile mtu anavyoweza kutupa jiwe kwenye bwawa, na kusababisha viwimbi mbali sana kuliko angefikiria.

Kuna barabara yenye msongamano wa magari yanipasa kupitia mara nyingi.  Sio rahisi gari zingine zitokazo pembeni kuingia ndani ya mkondo wa magari mengi yaliyomo katika barabara kuu.

Si kwamba tuna nia kuhurumia wengine daima, lakini Mungu tayari ameshatupa uwezo wa kuwa watu wenye huruma hata katika barabara zenye changamoto tumepewa kuwahurumia na kuwasaidia watumiaji wengine katika udhaifu wao.

2 Petro 1:3,5-7  Kwa kuwa uweza wake wa Uungu umetukirimia vitu vyote vipasavyo uzima na utauwa, kwa kumjua yeye aliyetuita kwa utukufu wake na wema wake mwenyewe … Naam, na kwa sababu iyo hiyo mkijitahidi sana kwa upande wenu, katika imani yenu tieni na wema, na katika wema wenu maarifa, na katika maarifa yenu kiasi, na katika kiasi chenu saburi, na katika saburi yenu utauwa, na katika utauwa wenu upendano wa ndugu, na katika upendano wa ndugu, upendo.

Rafiki yangu, unisikilize, tafadhali.  Matendo yako ya huruma, hata kama ni madogo tu yanaweza kumtia moyo mtu hata kubadilisha maisha yake … halafu kupitia wema ule, na wao pia wanaweza kugusa maisha ya watu wengine kuliko jinsi ungefikiria.

Kama unataka kuishi maisha bora, basi uwe na huruma na fadhili. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy