... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Yesu Akawaambia Mfano

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Mathayo 13:33 Akawaambia mfano mwingine; Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyoitwaa mwanamke, akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachachwa wote pia.

Listen to the radio broadcast of

Yesu Akawaambia Mfano


Download audio file

Kama wewe ni mtu anayeitahidi kuifanya sehemu yako ya kiroho na imani kuwa kipaumbele maishani mwako, lakini bado inakuwa vigumu kwako … basi ujue kwamba hauko peke yako.

Kuoanisha mtazamo wa imani, au tuseme mtazamo wake Yesu, na maisha ya kila siku, kwa kweli si jambo rahisi katika ulimwengu wa sasa unaoenda kasi.

(inabidi ukumbuke kwamba Mungu ndiye akuzaye imani) hadi itakuwa mti mkubwa.  Yaani itakuwa kweli inayotawala maishani mwetu, utawala wa ufalme wa Mungu ndani yetu.  Ni ahadi wa ajabu kabisa!

Sasa, Yesu aliwaambia mfano mwingine:

Mathayo 13:33  Akawaambia mfano mwingine; Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyoitwaa mwanamke, akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachachwa wote pia.

Tukiruhusu kwa imani ndogo kama punje ya haradali au kama chachu kidogo, ufalme wa Mungu kuingia moyoni … yeye atatenda maajabu kabisa!  Atatuinua, atatufinyanga na kusababisha tukue kwa njia za miujiza ili tuwe vyote alivyokusudia tuwe wakati alituumba.

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.