... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Jinsi Kanuni na Viwango Vinavyobadilika

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

1 Yohana 2:15-17 Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia. Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake. Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho , na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia. Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele.

Listen to the radio broadcast of

Jinsi Kanuni na Viwango Vinavyobadilika

Download audio file

Siku hizi, mtu yoyote anaemwamini yesu anabanwa katika jamii. Hufananishwa na ufisadi na upotovu wa dunia hii.

Angalia, mimi siwezi kujua umefikia wapi katika swala la imani yako,   lakini haijalishi uwe mtu wa imani au la … chunguza kwanza mazingira yako.  Angalia jinsi watu wanavyotendeana, yale wanayoambizana, jinsi maporomoko ya maadili yanavyoharibu ndoa nyingi na kuathiri jamaa na watoto.

1 Yohana 2:15-17  Msiipende dunia, wala mambo yaliyomo katika dunia.  Mtu akiipenda dunia, kumpenda Baba hakumo ndani yake.  Maana kila kilichomo duniani, yaani, tamaa ya mwili, na tamaa ya macho , na kiburi cha uzima, havitokani na Baba, bali vyatokana na dunia.  Na dunia inapita, pamoja na tamaa zake, bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele. 

Kwa mafupi, kufuatisha namna ya dunia na maovu yake, hata kama umeshinikizwa kiasi gani, ni uadui kwa Mungu.  Wakati tunabadilisha tabia na kanuni, wakati tunashusha viwango vya maadili kwa kufanana na uovu uliopo katika utamaduni wa leo, tutakuwa hatumfuati Yesu tena bali tutakuwa tunafuata watu waliopotea.  Bali yeye afanyaye mapenzi ya Mungu adumu hata milele.  

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.

We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy