... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kopesha Bila Kutumaini Malipo

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Luka 6:35 Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.

Listen to the radio broadcast of

Kopesha Bila Kutumaini Malipo


Download audio file

Zamani hizi kanuni iliyopo ukiwekeza hela kwa miradi fulani, unatazamia kupata faida. Huu ndio mfumo unaoendesha uchumi wa dunia hii.  Ninakukopesha hela, hatimaye utanilipa pamoja na riba. Kutokana na makubaliano.

Kwa swala la uchumi, “mapatano” kama hayo si mabaya.  Lakini inakuaje sasa kwa swala la mahusiano kati ya watu?  Mfano, ukimsaidia mtu “kupanda ngazi” kazini;  au kumsaidia kwa njia nyiingine, je!  Wewe unatazamia akulipaje, hmm…? 

Ni kawaida kuwa na mtazamo kama huo, Lakini Yesu alikuja na kuweka  kanuni tofauti kabisa: 

Luka 6:35  Bali wapendeni adui zenu, tendeni mema, na kukopesha msitumaini kupata malipo, na thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu, kwa kuwa yeye ni mwema kwa wasiomshukuru, na waovu.

Kumpenda adui na kumtendea mema  ni kanuni ya ajabu, lakini anaongeza agizo linalobomoa kanuni ya msingi ya uchumi na hata ya mahusiano yetu – tusitazamie malipo wakati tunawekeza.Ukifanya hivyo, thawabu yenu itakuwa nyingi; nanyi mtakuwa wana wa Aliye juu. 

Ni jambo jema tunapo wekeza kwa kumsaidia mtu kwa siri, Mungu ametuandalia baraka isiyotazamiwa mbeleni kidogo.

Ukifanya hivyo, thawabu yenu itakuwa nyingi.  

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly