... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kuamini Bila Kusitasita

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

1 Wakorintho 13:7 Upendo huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.

Listen to the radio broadcast of

Kuamini Bila Kusitasita


Download audio file

Je!  Umewahi kuchoshwa na mtu fulani, au mtu ambaye mmekuwa marafiki kwa muda Haujambo?  Mimi ni Berni Dymet na ninakukaribisha kwenye kipindi hiki cha NENO SAFI NA LENYE AFYA.

Nadhani sisi sote tunamarafiki kama hawa. Basi! Sitamwalika tena kwetu! Au mwanamke yule uliyekuwa rafiki yako miaka mingi, lakini  anazidi kukusumbuana.  Imefika mahala, unamtenga ukisema, “Kweli hanifai tena!” 

Sasa, tunawezaje kufikia maamuzi kama hayo?  Inawezekanaje kumtupa kama takataka, mahusiano ambayo yalikuwa muhimu kwetu? 

Labda maneno yangu yamekuumiza leo au nimetonesha jeraha.  Lakini, inawezekana jeraha litakuwa kimepata  tiba leo hii. Labda Andiko hili linaweza kuwa Neno la kukufaa leo. 

1 Wakorintho 13:7  Upendo huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote. 

Hata Mimi na wewe, tuliwahi kusumbua watu wengine wanaotuzunguka?  pia tuliwahi kuchukiza wenzetu wakati tulikuwa tunapitia vipindi vigumu, si kweli? 

Lakini bado wale watu waliendelea kutujali.  

Upendo huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.  

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly