-
In Depth Weekly Message: Join Berni Dymet as he opens God's Word to discover what God has to say into your life, today. Watch, listen or read. Whichever works best!
-
Daily Devotional taking you deeper into God's Word + closer to Jesus. Watch, listen or read. It's your choice. Even subscribe to have it delivered directly to you!
-
Daily 10 Minute Message exploring issues we all face in life ... from a different perspective; the sorts of things that really matter day-to-day. Listen or read. It's up to you.
-
Saburi na Utauwa
Kwa kuwa tuna maisha mara moja tu hapa duniani, na yenyewe yanapita kasi, huwezi kuishi maisha bora kama hutulii, kama una mashaka-mashaka. , wengine kwa nje wanaonekana ...
-
Kiasi na Saburi
Nafikiri sisi sote tunaelewa jinsi mtu anaweza kushindwa kuendelea kuvumilia. Mfano, wakati mtu anasumbuliwa na kupitia kipindi kigumu… mtu anaweza kuanza ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Maarifa na Kuwa na Kiasi
Kila mmoja wetu akiwemo mtu mpole, anavyo vitu ambavyo vikimchokoza, anaweza kukasirika. Je! Ni vitu gani vinakuchokoza kwa wepesi kwa wepesi? Mimi binafsi kuna mambo ...
-
Worship as a Way of Life
One of the things we love to do is have separate compartments in our life. My faith walk, my spiritual journey over in this corner, and real life over in that corner. People ...
-
Wema na Maarifa
Wengi wetu tunataka kutenda mema. Tunataka kuwa wastaarabu na wenye huruma. Tunataka kufanya maamuzi yaliyo sahihi. Lakini wakati mtu anaamka asubuhi, mara ...
-
Imani na Wema
Acha nikuulize, Mtu ataanzaje kujenga maisha bora? Maisha tele yanayoridhisha? Maisha yanayotikisa watu wengine kwa kuwaletea mema? Atatumia hatua gani? Siyo ...
-
Nafasi ya Kujirekebisha
Siku hizi hapa kwetu, mtu akinunua fanicha mpya, inakuja ndani ya box bapa na inatakiwa mnunuzi akusanye vipande vilivyomo na kuvifungia pamoja na bolt yeye mwenyewe. Lakini ...
-
Habari Njema Angalau
Siku hizi kupata habari njema ni kwa nadra sana. Mara unasikia kwamba mtu amechomwa kisu hapa, mwingine kupigwa risasi; kiwango cha riba kwa mikopo kimepanda, uchumi ...
-
Ndivyo Mabadiliko Yanavyokuja
Kadiri matukio yanavyotokea duniani – kama ni vita au kama ni watu mashuhuri wakijionyesha kwenye tamasha – wakati sisi watu wa kawaida tunazidi kupambana na changamoto za ...
-
Kutoka Kwenye Majivu
Mmea uitwao mshubiri una sifa kwamba unaweza kutibu magonjwa mbali mbali na kurejesha hali nzuri ya ngozi. Labda ni kweli. Hata hivi, mtu anaweza kuwa na mashaka ...
-
Kuwa na Amani … au La
Kuna ukweli unaotisha kabisa: Ulimwengu umepamba moto kwa sababu ya vita. Miaka hii ya karibuni, kufuatana na tovuti OurWorldinData.org, mapigano ya vita 150 hua ...
-
An Abundant Life in Jesus (Pt 2)
Many people are just living life … just eking out an existence. Only just getting by. And many of those people are the very same people who believe in Jesus, this ...
-
Usisahau Kupumzika
Leo ni Jumapili ya pili ya mwaka huu mpya. Hatuendelei kukumbuka mambo kama hayo kadiri wiki zinavyoendelea kupita na sisi tukiendelea na shughuli zetu za kawaida. ...
-
Ushirikiano Wenye Nguvu
Ushirikiano katika kazi, yaani kuwa timu ya watu mbali mbali, kila mtu akileta mtazamo wake na kipaji chake na uzoefu wake; wote wakifanya kazi kwa pamoja na kulenga hatima moja, ...
-
Hazina Njema
Magonjwa ya moyo na ya misipa ya damu – yaani presha, mshituko wa moyo na strok – yanasababisha theluthi ya vifo katika wanadamu. Yataua watu 51,000 duniani leo, na ...
-
Kulenga Upya Uone Vizuri
Kumbe! Tayari ni tarehe ya tisa ya mwaka mpya. Mambo bila shaka yamerudi kuwa ya kawaida. Kila mmoja ameendelea na shughuli zake. Lakini acha nikuulize, ...
-
Ujazwe Roho
Kuna mambo mengi mema ya kufurahia katika maisha haya. Na hata kama wengi wetu hatuishi daima kwenye “kilele cha mlima” kama wanavyosema, ni jambo bora kufurahia yale ...
-
Cha Kushangaza Mno
Tukizidi kupiga hatua katika mwaka huu mpya, hata kama tuna mashaka, jua kwamba tuko pamoja, tukisafiri mbeleni. Kupitia ujumbe huu wa Neno Safi na Lenye Afya, tunaweza ...
-
Ahadi ya Kweli
Dhana ya kusalimisha maisha kwa Mungu na kuamua kumwishia na kumtii, ni dhana inayochukiza watu wengi. Kwa nini, siku hizi za maendeleo, mtu angetaka kufanya hivyo? Jessica, ...
-
An Abundant Life in Jesus (Pt 1)
Many people are just living life … just eking out an existence. Only just getting by. And many of those people are the very same people who believe in Jesus, this ...
-
Ghairi, Ukaishi.
Kuishi maisha mazuri lazima mtu afanye maamuzi yasiyo rahisi. Kula vizuri, kufanya mazoezi, kupata usingizi unaotosha halafu kuwa makini kupambana na mwenendo usiofaa ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Subiri! Kuna Mengine Tena
Nikipiga hatua kila wakati ninaingia mwaka mpya … mara nyingi ninajiuliza kilicho mbeleni. Je! Nitakumbana na changamoto gani mwaka huu? Je! Nitaweza ...
-
Uwezo Utokao Juu
Wanasema uwezo wa mamlaka unapotosha, na uwezo wote unapotosha kabisa! Si lazima mtu aangalie mbali ili aone kwamba hii ni kweli kabisa na akiangalia mbali zaidi atashuhudia ...
-
Kutembea Juu ya Ardhi Iliyo Imara
Kwa kuwa tumeanza mwaka mpya … nadhani utakubaliana nami kwamba ni muhimu tuanze hatua ya kwanza vizuri kwa kukanyaga ardhi iliyo imara, si kweli? Kumbuka kwamba ...
-
Inua Macho Yako Juu Mbinguni
Tumefika. Leo ni siku ya kwanza ya mwaka mpya. Kwa hiyo nakutakia kheri za mwaka huu licha ya changamoto yo yote ile itakayokukabili. Na tukisema ukweli, hatujui ...
-
Ya Kale Yamepita
Ebu fikiria ingekuwaje kama ungelazimishwa kubeba vitu vyako vyote unavyomiliki ndani ya begi mbili. Kadiri unavyonunua vitu vingine, ndivyo begi zile zinazidi kujaa na ...
-
Kuangalia Yaliyo Mbele
Kwa kweli tunakaribia kufunga mwaka huu, inabaki leo na kesho tu, halafu mwaka mpya utaanza. Kwa hiyo muda umefika wa kusahau yaliyo nyuma na kulenga yaliyo mbele. Kwa ...
-
God is a God of New Beginnings
Sometimes we can feel so trapped in life – by hurts from the past, by our circumstances, in relationships, as life just drones on. It seems so empty. So futile. God? ...
-
An Abundant Life in Jesus
Most of us have at least one thing going on in our lives at any point in time that, if we had our way – wouldn’t be there. A difficult relationship. Sickness. Financial ...
-
Upatane na Yaliyopita
Ebu fikiria kidogo kwamba wewe ni mwanajeshi anayeenda vitani. Ni swala la kuuawa au kusalimika. Lakini wakati ulitaka kuondoka kutoka nyumbani, ulizozana vibaya na ...
-
Kutathmini Yaliyopita
Baada ya siku chache tuaanza mwaka mpya. Kwa kweli, ni siku nyingine tu, ila dhana ya mwaka mzima kupita inasababisha mtu kutafakari. Siku hizi chache zilizopita, tumejikuta ...
-
Mungu Kuonekana kwa Watu Wote
Kwa watu wengi, dhana ihusuyo “Mungu” inaonekana kuwa kitu ambacho hakishikiki. Labda mtu anaweza kuwaza habari zake mara kwa mara, akaingiza hata dua fupi kwake, lakini ...
-
Uwezo wa Neema ya Mungu
Acha nikuulize … neema ni nini hasa? Kwa wengine, ni neno la kidini linalotumika sana hadi linapoteza maana yake. Lakini neema ni nguvu pekee yenye uweza mkubwa ...
-
Imekuja Ghafla!
Tayari! Tumefika! Ghafla, tunakuta ni sikukuu ya Krismasi. Kwa hiyo acha nianze kwa kukutakia na wapendwa wako wote kheri zote za Krismasi – kwa sababu ...
-
Uwezo wa Mungu
Leo ni siku ya kuamkia Krismasi. Ni muda wa kutafakari na kujiuliza swali. Kwa sababu siku ya leo inadai jibu la swali hili: Je! Kesho nitasherehekea ...
-
Muumba Aliyekataliwa
Krismasi imekaribia sana, na kwa watu wengi, swala la Yesu linapuuzwa tu – hawamjali. Ni kuendelea tu na mambo ya sherehe kama vile mapambo ya mti wa Krismasi, vyakula ...
-
Old Story, New Twist (Part 2)
Christmas is a time of celebration, right? And yet how many times have you been through Christmas and it just wasn’t all that it should have been? Well, there’s a reason for ...
-
Kabla ya Majira Yoyote
Tayari, baada ya siku tatu itakuwa Krismasi. Je! Umechangamka? Hmm! Watoto bila shaka wanatarajia zawadi kwa shangwe, lakini kwa watu wazima wengi, wanaona ...
-
Shangilia Sasa Hivi!
Baada ya siku chache itakuwa Krismasi. Krismasi yangu. Krismasi yako. Bila shaka tutaisherehekea mahali tofauti kwa jinsi tofauti. Lakini lazima ...
-
Urafiki Wako na Mungu
Sikukuu ya Krismas ambayo tutasherehekea baada ya siku chache, ni sherehe ya familia na rafiki, chakula kitamu na mapambo mengi. Lakini kumbe! Kuna rafiki mmoja ambaye ...
-
Mantiki ya Upendo
Kuna neno ambalo lilinisumbua miaka mingi. Inawezekana, tukielekeza mawazo yetu kwenye Krismasi, kwamba hata wewe umesumbuliwa nalo. Ni hili: Kwa nini Mungu ...
-
Neno la Kutafakari
Tukielekeza mawazo yetu kwenye Krismasi, tunakuta kuna jambo ambalo, kwa watu wengi, linakuwa kizuizi wasiweze kufurahia sherehe hii ya Krismasi kama ipasavyo. Kwa miaka mingi, ...
-
Katika Matatizo Yetu Yote
Leo hii, kama ungeandika kwa karatasi mambo yote ambayo ungependelea yasiwepo maishani mwako, mambo ambayo ungetamani uwe na uwezo wa kuyafuta moja kwa moja, orodha hiyo ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Lengo ni Nini?
Hivi! Mungu alikuwa na makusudi gani kupanga habari hii ambayo kwa sasa tunaiita “Krismasi”? Ni kweli, Krismasi hii tunayeisherehekea leo imebadilika sana. ...
-
Old Story, New Twist (Part 1)
Christmas is a time of celebration, right? And yet how many times have you been through Christmas and it just wasn’t all that it should have been? Well, there’s a reason for ...
-
Krismasi Imekaribia
Kumbe! Imebaki siku kumi tusherehekee Krismasi. Siku kumi tu! Mwaka wetu huu umeenda wapi? Muda umepita kasi. Nadhani kadiri mtu anazeheka, ndipo ...
-
Wewe ni Mtoto wa Nani?
Mwenendo wako, jinsi unavyowatendea wengine vinadhihirisha kabisa jinsi wewe ulivyo na yale ambayo unayoyaamini. Kwa hiyo niulize, je! Unaenendaje? Unawatendeaje ...
-
Kuna Imani ya Uchawi
Leo ni siku ya Ijumaa tarehe 13. Siku ile na tarehe ile zikikutana, katika utamaduni wa magharibi, zinadhaniwa kuleta bahati mbaya. Haijalishi unaishi wapi, ushirikina ...
-
Usipotoshwe
Kukutana na watu wapya, kujenga urafiki si rahisi siku hizi. Maisha yamekuwa bize kupita kiasi, watu wakikutana kikazi tu, au kwa wengine, maisha yamekuwa ya upweke ...
-
kuishi ndani ya Kristo …
Ni jambo gumu sana kujaribu kuweka kichwa cha mzee mabegani mwa kijana; yaani kuwapa vijana wetu busara sisi wazee tuliojifunza kupitia changamoto za maisha kwa njia vijana ...
-
Matumaini Yaliyo Safi
“Usafi” ni neno ambalo tunalipenda. Mfano, dhahabu safi, furaha tupu isiyoghoshiwa … lakini je! Umewahi kukutana na mtu aliye safi kabisa? Yaana mtu aliye ...
-
Kristo Atakuja Tena
Kinachochanganya sana katika maisha, ni wakati mtu anafanya maamuzi fulani – mfano, kufunga ndoa, kufuata masomo fulani, kufunga mkataba wa ajira, au cho chote kile – hawezi ...
-
Becoming an ‘Overnight Success’ (2)
Wouldn’t it be nice to become an overnight success. I think that’s pretty much everyone’s secret dream. Success without the hard work, by next Thursday. Just perfect! The ...
-
Mwana wa Mungu
Kadiri mtu anazidi kukomaa, ndipo inatakiwa azidi kuwa na busara. Lakini wakati mtu anazidi kutambua madhaifu yake kupitia changamoto za maisha, kuna kitu kingine ...
-
Nanga ya Tumaini
Tumaini, ukifikiri kidogo, ni hisia lisilo la kawaida kwa sababu kile ambacho tunakitumaini kwa tafsiri ya neno, bado hakina uhakika. Na hatupendi kutokuwa na uhakika, si ...
-
Mungu Hawezi Kusema Uongo
Kuna jambo moja ulimwenguni ambalo tunaloweza kutegemea kabisa. Hata ikiweje, hata dhoruba ikipigaje kwa nguvu kiasi gani, tunaweza kuwa na uhakika kwamba chini ya miguu ...
-
Mungu wa Tumaini Tele
Je! Umewahi kujiuliza ni mtu gani watu wanakutana naye wakati wanaonana na wewe? Yaani wanakufikirije mkikutana? Mtu anayechangamka au mtu aliyekatishwa ...
-
Kumbukumbu Iokoayo
Mema na mabaya – sisi sote tunaweza kuyatenganisha … au? Ni kama kutenganisha rangi nyeusi na rangi nyeupe, ni rahisi sana … au labda tunapendelea rangi fulani ...
-
Kumkaribia Mungu au Kujitenga Naye
Gari zinazoendeshwa na umeme zinaanza kupendwa na kuenea duniani. Ni sawa, ila mimi, nikifadhaishwa wakati simu yangu imeishiwa moto, kwa kweli nina mashaka kuhusu gari ya ...
-
Nguvu ya Moyo Wako
Dalili ya mtu aliyekomaa ni wakati anajifunza kutokujitegemea. Sisemi awe na mtazamo hasi, hapana, bali akubaliane na madhaifu na mapungufu yake. Hii ni busara ya mtu ...
-
Old Story, New Twist
Christmas is a time of celebration, right? And yet how many times have you been through Christmas and it just wasn’t all that it should have been? Well, there’s a reason for ...
-
Becoming an Overnight Success (1)
Wouldn’t it be nice to become an overnight success. I think that’s pretty much everyone’s secret dream. Success without the hard work, by next Thursday. Just perfect! The ...
-
Walakini … Pendo
Bila shaka, pendo la mtu kwetu linakuwa bora wakati hatustahili; wakati anachukuliana nasi wakati tuna uchungu moyoni, wakati tunatenda kwa ujinga na ukatili. Hicho ndicho ...
-
Mwenendo wa Ujinga na Ukatili
Je! Umewahi kutoboa pulizo na sindano? Dakika moja ni pulizo nyekundu nzuri inayoelea angani. Ghafla inapasuka kwa kishindo kikubwa! Inabaki kipande kidogo ...
-
Mukoba wa Kuwekea Karamu
Sisi sote tunavyo vitu tunavyomiliki visivyo vya kawaida, vitu tunavyothamini sana. Ndiyo maana tunajaribu kuvitunza vizuri. Zamani, wakati nilikuwa mwanafunzi mdogo ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Kusudi Lake Mungu
Uwezo wa kugundua kusudi la mtu ni muhimu sana. Kwa sababu si kila mtu aliye kama anavyoonekana mwanzoni. Si kila mtu atakayetimiza yale aliyoahidi kutimiza. ...
-
Wakati Pendo Linashinda
Katika mada za filamu, hadithi ya upendo bila shaka inapendwa zaidi kuliko mada zingine. Ni kweli kuna filamu zenye matukio ya kuvutia, vitendo vya ajabu na zingine za ...
-
Hali Inayoleta Ongezeko
Mtu akifuata vyombo vya habari, ataambiwa kwamba kanisa hua linafifia. Habari hii inawafurahisha makundi mbali mbali ya wapinzani. Lakini hao waandishi wa habari ...
-
Hofu, Amani na Faraja
Kwa kweli tunaishi katika kipindi cha hatari. Ukinunua gazeti utasoma jinsi wenye mamlaka, si kila mara lakini mara nyingi wanatenda visivyo. Pia, makanisa mengi ...
-
Wisdom That Works (Pt 4)
Wisdom is something that, on balance, we’d all like to have. Really. Problem is, it involves sacrifice. Sure it’s a great investment in our futures, even in the present ...
-
Umsifu Yeye Bwana
Kwa sehemu kubwa, jinsi mtu anavyopitia maishani – atakayoyapata, atakayoyatoa, atakayafurahia au la … inategemeana na mtazamo unaomtawala yeye. Nafikiri ...
-
Unifundishe Njia Yako
Je! Umewahi kutafuta njia pa kupitia ukiwa mahali ambapo hujazoea? Kaskazini ni wapi? Nitumieje ramani,? Stendi ya basi iko wapi? Hii basi inayokuja, ...
-
Hakuna Afananaye na Mungu
Sasa niambie, je! Unalinganisha maisha yako kuwa kama safari ya msafiri anayetafuta kitu? Jibu la wengi wetu lingekuwa, hapana, sio sana. Unajua, tuko bizi ...
-
Je! Mungu Unanisikiliza?
huu ni Ulimwengu ambao kuna kelele nyingi za sauti zinazoshindana, maoni tofauti, jumbe mbali mbali kwenye mtandao na kadhalika, zote zikitujia kwa pamoja, ni kama wote wonaongea ...
-
Mungu ni Mwema
Sijui kama umeshaona jinsi ilivyo rahisi kupoteza dira na kuacha kuzingatia yaliyo muhimu maishani kwa sababu ya kupambana na changamoto za kila siku? Ndiyo maana inatubidi ...
-
Mtazamo Ulio Mpana
Kuna mapambano mengi maishani. Sasa, mtu akiwa anapambana, anataka sana ashinde. Mara nyingi si muhimu sana mtu ashinde, lakini wakati mambo yanapamba moto, anaona ...
-
Ukristo Halisi
Kuishi maisha yako yote ukijaribu kupendeza wengine na kujipendekeza kwao ni kazi ngumu kwa sababu watu ni wa kubadilika badilika. Wanaweza kuwa pamoja na wewe leo … ...
-
Wisdom That Works (Pt 3)
Wisdom is something that, on balance, we’d all like to have. Really. Problem is, it involves sacrifice. Sure it’s a great investment in our futures, even in the present ...
-
Amani inaanzia Nyumbani
Sehemu nyingi duniani, ulezi wa watoto ni tofauti sana na jinsi ulivyokuwa zamani. Leo hii tunaweza kusema kwamba utofauti huo, kwa sehemu kubwa, umeleta madhara mengi ...
-
Msingi wa Amani Nyumbani
Kuwa ndani ya familia yenye upendo ni baraka kubwa, si kweli? Lakini hata kama uko ndani ya familia yenye upendo, bado ni kazi kulinda amani. Migongano ...
-
Kutawaliwa na Jeuri na Hali ya Kuchukizwa Daima
Je! Unaonaje? Wanaotawala nchi yako, au mkoa wako au wilaya yako, au kijiji au mji wako, wakoje? Kwa mtazamo wako, je! Wanatawala vizuri … au kama ...
-
Tumaini Halisi
Watu wengi wanao mtazamo hasi kabisa. Labda kwa sasa hivi hauko hivi, lakini najua kwamba umewahi kukatishwa tamaa, kama vile mimi. Swali lililopo ni hili, Je! ...
-
Mtikiso wa Neema
Wakati mtu anakuonyesha fadhili, hata katika jambo dogo, je! Inabadilishaje unavyomwona, jinsi unamtazama na kumtendea? Bila shaka, tendo la wema lilitokana na upendo, ni ...
-
Kuleta Amani
Swali: Je! Vita vinaishaje? Jibu: Baada ya mapigano makali, na maafa ya watu wengi pande zote mbili, hatimaye wanakubali kuketi mezani na kujadili swala la ...
-
Baraka ya Amani
Leo ni Siku ya Kusitisha Vita, wakati tunaelekeza mioyo na mawazo yetu kwenye mwisho wa Vita ya Kwanza ya Duniani Yote. Wakati ule, ilisemekana kwamba ile vita ilikuwa vita ...
-
Wisdom That Works (Pt 2)
Wisdom is something that, on balance, we’d all like to have. Really. Problem is, it involves sacrifice. Sure it’s a great investment in our futures, even in the present ...
-
Uwe Mtakatifu
Ninashangaa nikiangalia maajabu wanariadha wenye vipaji wanavyofaulu kutenda, si kwa sababu ya vipaji vyao tu, lakini kwa sababu ya jitihada zao pia pamoja na mazoezi magumu ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Amani Pande Zote
Ninajiuliza ni mapambano gani unayokabiliana nayo muda huu? Labda ndoa yenye shida kubwa, labda hali yako ngumu ya uchumi, labda kujiona kwamba hufai, labda hofu ya mambo ...
-
Ahadi ya Amani
Dunia hii inaweza kuahidi vitu vingi sana – ajira nzuri, mafanikio, pesa, likizo, gari mpya, hata viatu vipya au vipodozi vizuri. Lakini mwisho wa siku, hakuna vinavyoweza ...
-
Kupita Ufahamu Kabisa
Ingekuwaje kama mtu tajiri au mwenye mamlaka – mfalme au mwimbaji maarufu au mtu mashuhuri au mtu anayejulikana sana – kama angefika ili ale nyumbani mwenu? Nijibu, ...
-
Nifuate
Nadhani sio mimi peke yangu ambaye angekiri kwamba kuna wakati nimejiona kuwa sifai kabisa, kiasi cha kutatishwa tamaa na kuacha kufuata ndoto nilizokuwa nazo. Sijui wewe? ...
-
Mafuriko ya Baraka
Je! Umewahi kujaa furaha tele – aina ya furaha ambayo inabaki ndani yako hata wakati wa shida – kiasi ambacho ulishindwa kuizuia? Labda unafikiri … Unasema ...
-
Azimio la Amani
Kuna watu wengi sana ambao wanatumia nguvu nyingi za kihisia kwa kujaribu kukimbia yaliyotokea zamani, bila hata kujua wanachokifanya. Mimi nilikuwa hivi miaka mingi ...
-
Wisdom that Works
Wisdom is something that, on balance, we’d all like to have. Really. Problem is, it involves sacrifice. Sure it’s a great investment in our futures, even in the present ...
-
Wisdom that Works (Pt 1)
Wisdom is something that, on balance, we’d all like to have. Really. Problem is, it involves sacrifice. Sure it’s a great investment in our futures, even in the present ...
-
Neema Iliyozidi
Siku hizi, ni kama ni kawaida mke kuacha mume wake kwenda kwa mwingine au mume kuacha mke wake vivyo hivyo, watu wakifikiri kwamba ni maamuzi tu ya mtu. Je! Hali hii ...
-
Zawadi Inayoendelea Kuleta na Zingine
Ninakumbuka zamani wakati wale Wakristo walikuwa wanaongea habari za Yesu na dhambi na msamaha na “kuokolewa”, na uzima wa milele na mengine mengi, kwangu ilikuwa kama ...
-
Inatosha Kabisa
Je! Umewahi kubana kidole chako kwenye mlango? Mambo yalikuwa shwari halafu ghafla maumivu yanapanda mkono na kuingia kichwani kwa ukali kabisa. Yaani inaumiza ...
-
Sisi Sote Tuna Haja Hii
Mara kwa mara, sisi sote tunajikuta katika hali ya kuhitaji kutendewa mema na kufadhiliwa na watu wengine ili tuweze kustahimili majaribu ambayo tusingeyapitia peke yetu. ...
-
Kubadilishwa na Neema
Kuna kipindi kila mzazi anakuwa na hofu kwamba mtoto wake anaweza kuingia katika kundi la wahuni; kwamba wale watu wanaweza kupotosha mwana wake au binti yake. Na kweli ana ...