... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Jibu Bila Ugomvi

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Tito 3:1,2 Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa wenye uwezo na mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema; wasimtukane mtu ye yote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha upole wote kwa watu wote.

Listen to the radio broadcast of

Jibu Bila Ugomvi


Download audio file

Kuwafanyia mzaha viongozi wa siasa imekuwa burudani kwa watu wengi katika jamii.  Wengine wangesema, labda, kwamba … wanasiasa wanastahili kutendewa hivyo.

Kwa hiyo acha niulize, Ni haki kuwakosoa viongozi?  Kwa watu wanamoishi katika nchi za kidemokrasia, ni rahisi kufanya hivyo hadharani.  Kwa wengine wanamoishi chini ya mifumo mingine ya siasa, manung’uniko yatakuwa ya chini-chini tu.  Lakini hata kama malalamiko ni ya moyoni tu, bado yanaweza kumwathiri mtu kama vile kansa inavyomaliza viungo mwilini. 

Zamani kwenye karne ya kwanza baada ya Kristo, Wakristo walipata mateso makali.  Halafu katika mazingira yale magumu, waliambiwa Neno hili lililotoka kwa Mungu: 

Tito 3:1,2  Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa wenye uwezo na mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema; wasimtukane mtu ye yote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha upole wote kwa watu wote. 

Hakuna serikali hata moja duniani ambayo daima itakayotunga sheria zilizo njema, Ukilinganisha serikali zote zilizokuwepo tangu mwanzo hadi leo lazima zitaonekana kwamba zina mapungufu. kwa hiyo tusome tena Maandiko hayo na kuyatafakari:

Uwakumbushe watu kunyenyekea kwa wenye uwezo na mamlaka, na kutii, na kuwa tayari kwa kila kazi njema; wasimtukane mtu ye yote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha upole wote kwa watu wote.  

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly