-
In Depth Weekly Message: Join Berni Dymet as he opens God's Word to discover what God has to say into your life, today. Watch, listen or read. Whichever works best!
-
Daily Devotional taking you deeper into God's Word + closer to Jesus. Watch, listen or read. It's your choice. Even subscribe to have it delivered directly to you!
-
Daily 10 Minute Message exploring issues we all face in life ... from a different perspective; the sorts of things that really matter day-to-day. Listen or read. It's up to you.
-
Neema na Amani
Ukikutana na mtu ambaye ni siku nyingi hamuonani, je! Unamsalimiaje? Au wakati unamwandikia barua (labda siku hizi, barua pepe), unaanzaje? Agano Jipya kwa sehemu, ni ...
-
Umeteuliwa
Mimi ninajiuliza ingekuaje kuwa mchezaji maarufu, mwanamume au mwanamke, aliyechaguliwa kuwakilisha taifa lake kwenye mashindano ya kimataifa. Ni heshima kubwa, ni fursa ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Salama Zitokazo kwa Sosthene
Tunaishi katika ulimwengu unaotukuza mashuhuri na mashujaa … warembo, matajiri, na mtu awaye wote aliyekusanya wafuasi wengi mwezi fulani kwenye mtandao … halafu sisi ...
-
Wisdom to Transform Your Life (2)
There’s probably not a single person on this planet who doesn’t want to be wise. But there are a couple of problems with this whole wisdom thing. Firstly, it’s not always ...
-
Uhuru wa Kweli
Je! Ungependa kuwekwa huru na mzigo wa dhambi? Nadhani sisi sote tunayo shauku kuwa huru nayo. Sasa habari njema ni kujua kwamba ni kwa sababu iyo hiyo Yesu ...
-
Ondoa Vya Kale, Ingiza Vipya
Nadhani sote tungekubaliana kwamba kwa ujumla sheria na amri ni nzuri. Si zote lakini karibia zote. Lakini amri fulani kwenye kitabu ya sheria ina maana gani kama ...
-
Mtumishi Mwenye Moyo
Pengine umeshasikia habari ya vimeng’enya, lakini je! Unakumbuka kazi yao? Vimeng’enya ni aina ya protini ndani ya mwili vinavyochochea mjibizo katikati ya ...
-
Yesu Akawaambia Mfano
Kama wewe ni mtu anayeitahidi kuifanya sehemu yako ya kiroho na imani kuwa kipaumbele maishani mwako, lakini bado inakuwa vigumu kwako … basi ujue kwamba hauko peke yako. ...
-
Ufalme wa Mungu Umefanana na …
Hili ni tatizo ambalo watu wengi wanakabiliana nalo: Mtu anataka kuwa na imani, yaani awe na sehemu ya kiroho maishani … ila, katikati ya pirika za kila siku, sehemu ...
-
Tumaini la Utukufu
Katika ulimwengu huu ambamo dhana ya kweli inazidi kubadilishwa kuwa ovu na kubadilishwa kuwa kama silaha ya kuangamiza maisha ya watu, wengi wetu wanaanza kuogopa na kuacha ...
-
Jinsi ya Kutambua Uongo
Ukitafakari kidogo, mtu anaweza kutambua kwamba njia fulani hainyooki, kwa sababu anaweza kuilinganisha na njia iliyonyooka. Lakini ili aweze kulinganisha, lazima ajue ...
-
Wisdom To Transform Your Life (1)
There’s probably not a single person on this planet who doesn’t want to be wise. But there are a couple of problems with this whole wisdom thing. Firstly, it’s not always ...
-
Wisdom to Transform Your Life
There’s probably not a single person on this planet who doesn’t want to be wise. But there are a couple of problems with this whole wisdom thing. Firstly, it’s not always ...
-
Mungu yu Karibu
Kuna wakati ni vigumu sana kupokea ahadi za Mungu moja kwa moja kama ilivyo. Mungu ni mwema. Mungu ni mwaminifu. Kamwe hawezi kukuacha wala kukupungukia. ...
-
Hatima ya Ajabu Mno
Je! Umewahi kufikiri kwamba inawezekana Mungu anakuandalia mambo makuu kwa kutumia taabu ambazo unazopitia? Yamkini ni vigumu kukubali dhana hiyo wakati bado unateswa, ...
-
Wakati Mtu Anapoteza Vyote
Nadhani Maisha, ni mvutano kati ya mema na mabaya; kati ya kufanya yale unayojua kuwa sahihi na kufanya yanayokupendeza wewe; kati ya anasa za dunia hii na hazina za mbinguni. ...
-
Sehemu Inayotisha
Je! Wakati vitisho vinakujia, unafanyaje? Kwa upande mmoja, silika yako ya kukimbilia mahali pa salama lina nguvu kweli. Lakini kwa upande mwingine, moyoni ...
-
Wakati Unatetemeka
Hofu ni hali ambayo iko sehemu zote, yaani wengi tu wanaogopa kuliko jinsi tunavyofikiria. Kwa hiyo, sio wewe tu unaogopa. Hofu inaweza kumshika mtu muda wo wote, ...
-
Weka Matendo Yako Nuruni
Kama ningeweza kukuhoji uongee kwenye kipindi cha redio halafu nikikuomba uwaambie wasikilizaji kitu kile kimoja kilichomo maishani mwako ambacho kinakutia aibu, je! ...
-
Kungoja Tofauti
Je! Unapenda sana kungoja hadi mambo yatokee? Ikiwa Jambo jema, au jambo la muhimu, au jambo ambalo umekuwa na shauku nalo muda mrefu, au jambo ambalo ni lazima ...
-
The Amazing Names of God (Pt 2)
What’s God like? Well – what is He actually like? One of the interesting things that God does to answer that question for us – is that in His Word, the Bible, He uses ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Umsifu kwa Shauku Kubwa
Je! Naweza kukuuliza ni lini uliwahi kumsifu Mungu? Na wakati ulimsifu, ulifanyaje? Haya ni maswali mazuri ya kujiuliza siku ya Jumapili wakati Wakristo duniani ...
-
Usikose Kupumzika Siku Yako ya Sabato
Leo ni Jumamosi, siku ambayo Mungu aliagiza watu wake wapumzike. Kuanzia jioni Ijumaa hadi jioni Jumamosi ni siku iliyoitwa Sabato au Shabbat kwa lugha ya Kiebrania. Neno ...
-
Usiache Kuomba
Je! Umewahi kujisikia kwamba hupati majibu unayohitaji; kwamba unanyimwa mafanikio mapya; kwamba Mungu hakusikilizi au hajali? Basi leo hii, Yesu ana somo kwa ajili ...
-
Endelea
Wakati tumechoshwa, tunataka kuacha yote na kujiudhuru. Nguvu zinatupungukia, macho yanakuwa na gizagiza, mikono inalegea, na hata bidii yetu yakutimiza yale Mungu aliyetupa ...
-
Zidi Kumtafuta Mungu
Sawa, unaendelea na shughuli zako za kila siku, ukifanya kazi kwa nguvu na kujaribu kuishi maisha kama inavyotakiwa. Unajaribu pia kutimiza matazamio ya watu wote wengine; ...
-
Tenda Yanayowezekana
Wakati mambo hayaendi kama ulivyotazamia, wakati unakumbana na upinzani, wakati unaumia, wakati una hofu, wakati unafadhaika, sehemu zote za nafsi yako zinakupigia kelele – ...
-
Taabu Nyingi Sana
Unajua kinachonigusa zaidi katika zamani hizi tumamoishi? Ni kwamba watu wengi sana wanaishi maisha duni, yenye taabu kiasi cha kustaajabisha. Je! Kwa nini watu ...
-
The Amazing Names of God (Pt 1)
What’s God like? Well – what is He actually like? One of the interesting things that God does to answer that question for us – is that in His Word, the Bible, He uses ...
-
Unifundishe
Dalili kubwa ya unyenyekevu mtu anaweza kuwa nayo kuliko zote ni kuwa na moyo unaofundishika. Kwa kweli, bila moyo kama huo, mtu hawezi kuishi kwa unyenyekevu. Unyenyekevu ...
-
Jinsi Unavyosafiri
Je! Wewe unasafiri umbali gani kila siku? Labda unaenda kazini kila siku na kurudi nyumbani jioni. Labda unafanya mazoezi ya kutembea au kukimbia. Kuna ...
-
Habari Njema na Habari Mbaya
Leo kuna habari njema na habari mbaya. Tuanze na Habari Njema: Mungu anakupenda kuliko ninavyoweza kueleza na Yesu alikuja kwa kusudi la kufa kwa ajili ya dhambi zako ili ...
-
Unafiki na Kujidanganya
Unafiki na kujidanganya vinaendana. Kwa watu wanaomtazama mtu ambaye hatendi yale anayoyasema, watamwita mnafiki. Lakini ndani yake, mara nyingi, unafiki huo unatokana ...
-
Utamaduni wa Kufuta
Mini ninadhani kwamba kichekesho kizuri kuliko vyote ni kile kinachokuchekesha, lakini kinasababisha utafakari pia. Kichekesho kinacholenga hali halisi ya mambo hata ...
-
Tiba Kali Kulizo Zote
Chuki ilianzia tangu mwanzo kabisa. Ilianza wakati mwana wa Adamu na Hawa aitwaye Kaini aliua mdogo wake Habili na tangu pale binadamu wameendelea kuwa na kinyongo hadi leo ...
-
Tazamo Lako la Mara Moja
Je! Umewahi kutaka kutazama angalau mara moja kwenye umilele? Itakuaje? Je! Mapambano tunayo leo, yatafidiwa kweli kweli tukiishi milele na Mungu huko ...
-
You Have Been Set Free (2)
Freedom, it’s a great idea, but a reality that very few people ever experience. Jesus came to set the captives free, but what does that really mean? What does that really look ...
-
Ujasiri Huleta Amani
Unajua kinachonipendeza zaidi nikimwangalia Yesu? Hata kama alikuwa Mwana wa Mungu, muumba wa vitu vyote, hata kama anastahili kupata yaliyo bora kutoka kwangu na kwako pia, ...
-
Je! Imani Ina Umuhimu Gani?
Tunahitaji imani halisi katika mapambano tunayokutana nayo maishani. Imani iliyo hai. Imani inayojitokeza kipindi kigumu. Imani inayotusaidia kushinda ulimwengu. ...
-
Imani Yako Ishindayo
Acha nikutupie hoja, nione unafikiriaje. Mkristo awaye yote asipotambua kwamba tunaishi katika eneo la vita ya kiroho ni kama haelewi cho chote Kabisa! Sasa, wewe ...
-
Ngome Zako Ziko Wapi?
Wakati unakutana na vizuizi njiani katika maisha haya, mwitikio wako wa haraka-haraka ni upi? Unakumbanaje na vile vizuizi? Ukiangalia nyuma, uliwezaje kukabiliana ...
-
Kushinda Vizuizi
Nadhani sote tungekubaliana kinadharia kwamba mateso, tukiyapokea vilivyo, yanaweza kutengeneza na kuboresha tabia yetu. Lakini mateso yakimfikia mtu mwenyewe, kumbe ...
-
Imani Ishindayo
Kwa nini Mungu anaruhusu tupitie mateso na maumivu? Kwa nini unapaswa kukabiliana na matatizo yaliyo mbele yako sasa hivi? Je! Kwa nini mambo yasiwe rahisi kwa ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Imani iokoayo
Imani ni jambo jema kabisa kuwa nalo, hususani pale imani yetu iko ndani ya kitu au mtu ambaye hawezi kutuangusha. Lakini je! Imani yako ikoje kipindi kigumu cha ...
-
You Have Been Set Free
Freedom. It means different things to different people. What does it mean to you? Is it about being free to do anything you want to do? Or is it about being set free from the ...
-
You Have Been Set Free (1)
Freedom, it’s a great idea, but a reality that very few people ever experience. Jesus came to set the captives free, but what does that really mean? What does that really look ...
-
Mtazamo Tofauti Kabisa
Inazidi kuwa ngumu kwa mtu anayemwamini Yesu kuendelea kuamini Biblia. Labda mahali ulipo, utasema ni kweli. Eti, sehemu nyingi za Biblia imepitwa na wakati. ...
-
Gharama ya Mwisho
Ujumbe wa msingi wa Ukristo unaitwa “Habari Njema”- ni kwamba Yesu, Mwana wa Mungu, alifanyika mwanadamu na alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, ili gharama iliyodaiwa na haki ya ...
-
Kufanywa Upya Nia Zako
Je! Utaniruhusu nikikuuliza ni yapi yanayotawala mawazo yako? Ni fikra gani zinazorudia-rudia kichwani? Kutafakari maswali yangu ni zoezi ambalo lingedhihirisha ...
-
Kudhibiti Mawazo
Hofu ni hisia ambayo hatufurahii. Hata kidogo! Kwa kweli, kama ingewezekana, tungeiepuka maisha yetu yote. Lakini kuna wakati mawazo yetu na hisia zetu ...
-
Muda Mwafaka wa Utendaji
Wakati safari yetu inatuwia vigumu, hisia za hofu na fadhaa, hua zinatulemaza. Ni kama mnyama anayeshitukizwa barabarani akijikuta ndani ya mwangaza wa taa za gari usiku, ...
-
Jinsi ya Kushinda Fadhaa
Wakati hali ya mambo yanayotukusanyikia kama dhoruba ya kutuangamiza, ni kama hisia zetu na zenyewe zinayaunga mkono na kufanya hali kuwa mbaya zaidi. Sijui kama umeshaona ...
-
Kuliko Yote Uyawazayo
Ukiangalia yote yanayoendelea katika moyo wako na fikra zako, ukizingatia pia yanayoendelea maishani mwako au katika ulimwengu unaotuzunguka, je! Kuna wakati unajisikia ...
-
Living Generously (2)
All too many people want to live a life of victory, but when it comes to the way they manage their money, well, they’re so far in debt, that they don’t have the resources ...
-
Living Generously (1)
All too many people want to live a life of victory, but when it comes to the way they manage their money, well, they’re so far in debt, that they don’t have the resources ...
-
Chunguza Neno la Mungu
Je! Uliwahi kujiuliza kwa nini unapambana na mambo yanayokusumbua? Bwana na Bibi Wakristo Wakamilifu huko hawasumbuliwi. Lakini mimi? Si unajua … Ni ...
-
Usahihi Katika Teolojia Hautoshi
Watu wanaielewa Habari Njema ya Yesu kwa njia mbali mbali. Mimi binafsi ni mtu wa kawaida tu. Ninafungua Biblia, ninaisoma na kuamini anachokisema Mungu hata kama ...
-
Habari Njema Mno
Je! Wewe una ustadi gani katika kutii sheria na kanuni? Kama una leseni ya kuendesha gari, ni lini uliwahi kuzunguka na gari bila kupita kiwango ya kasi ...
-
Pendo Halipotei Bure
Je! Umewahi kumtendea mema mtu fulani halafu ulichukia wakati hakukutambua wala kukushukuru? Ikitokea, kwa kweli mtu anabaki kwa kujiuliza, Faida gani nimepata ...
-
Wakati Tunapenda Usalama Kupita Kiasi
Tukiweka pembeni wanaopenda kuruka kwa parachuti na wanaopenda kupanda milima mirefu na wengine wanaochezea hatari, sisi wengine karibu wote tunajaribu kujiepusha na hatari. ...
-
Usikwazike
Wakati watu wengine wanatutendea visivyo, ni rahisi sana kukwazika mara moja. Tukisema ukweli, ulimwenguni humu watu wanazidi kudai “haki” zao na mwitikio wao wa kwanza ...
-
Maana Halisi ya Unafiki
Lazima tukubali kwamba kuwapenda watu wengine, kuna wakati kunatuwia vigumu. Wao kuna wakati hawatutendea haki. Kuna wakati hawafanyi kama tulivyotazamia ...
-
Overboard with Jesus (2)
Too many Christians try to live out a safe, convenient and comfortable Christianity … and then they wonder, why isn’t it working? Others, they can hear Jesus calling them, but ...
-
Angali Sana Jinsi Unavyoenenda
Tumepewa kuishi maisha mara moja tu hapa duniani na muda wetu unaenda taratibu siku baada ya siku. Kwa hiyo, niulize. Utatumiaje siku yako ya leo? Kesho, utaitumiaje? ...
-
Inatosha!
Siku hizi ukosoaji na ugomvi ni kama umekuwa mfumo wa kawaida katika mahusiano. Likiwa swala la siasa, maoni, jamii na hata la imani, ni kama kila mtu anataka kuwakosoa watu ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Kitu Mungu Anachokitaka
Kama vile cho chote kile kinaweza kubadilishwa kuwa njia ya kuchuma fedha, Ukristo pia unaweza kuwa kama biashara. Yaani mali ya makanisa baadhi yanashangaza mno. Kwa ...
-
Hata Wakati wa Uzee Wako
Kuna jambo linaloleta huzuni nyingi siku hizi hata kuwa kama tauni ulimwenguni, ni kuona wazee, wanaume kwa wanawake – watu wano uzoefu mkubwa na busara kutokana na umri wao – ...
-
Neno la Kukumbuka
Wakati tunakumbana na matatizo, tukipambana katikati ya mazingira yaliyochafuka, hatuna budi kujisikia upweke. Labda hatuko peke yetu lakini inasikika kuwa hivyo. Kwa kweli, ...
-
Swala Lisilotiliwa Maanani
Kadiri ninavyochunguza maisha ya watu, ndipo ninaguswa sana kuona hali halisi kwamba hakuna asiye na matatizo maishani mwake. Vipi wewe? Ni kweli, kuna wakati mambo yako ...
-
Kutua Salama Salamini
Ninajiuliza wakati wewe unaomba – na watafiti wanatwambia kwamba karibu watu wote kuna mara wanaomba – je! Umewahi kujiuliza dua lako linaishia wapi? Mungu ...
-
Overboard with Jesus (1)
Too many Christians try to live out a safe, convenient and comfortable Christianity … and then they wonder, why isn’t it working? Others, they can hear Jesus calling them, but ...
-
Overboard with Jesus
Too many Christians try to live out a safe, convenient and comfortable Christianity … and then they wonder, why isn’t it working? Others, they can hear Jesus calling them, but ...
-
Huzuni Uletao Mabadiliko
Huzuni si jambo ambalo tungelitamani tuwe nalo. Hakuna sababu ya kutafuta huzuni. Sijui ungesemaje kama ningekwambia kwamba kuna aina moja ya huzuni Mungu anataka tuwe ...
-
Mungu Atiaye Moyo Wanaosumbuka
Neno “dhiki” si neno linalopendeza, hapana. Ni hali ambayo tusingependa kukumbatia. Lakini, kuna kipindi neno lile linafasiri vizuri sana hali ngumu tunayoipitia. ...
-
Jitakase Nafsi Yako
Mungu hua ameahidi ahadi kubwa mno kwa wale ambao wamemwamini Yesu. Ameahidi kwamba atakuwa Mungu wetu, na sisi tutakuwa watu wake; kwamba ataishi katikati yetu. Ahadi hizo ...
-
Wakati Rafiki Wanakukimbia
Hakuna jambo ambalo linashtua mtu na kumwangusha na kumwumiza kama rafiki anayekuwa karibu naye vipindi vizuri lakini kipindi kigumu anamkimbia. Sijui kama wewe umeshaona ...
-
Kosa ni la Nani?
Mimi nimewahi kufanya mambo ya upumbavu maishani mwangu. Na wewe pia, si kweli? Tunatamani kama tungeweza kuyafuta … lakini haiwezekani. Labda bado ...
-
Jinsi ya Kumheshimu Mungu
Siku hizi, wanadamu wanatendea miili yao mambo ya ajabu. Wanatoboa viungo vyao sehemu isiyoeleweka, wanachora miili yao, wanaipamba, wanaikoga na kuiachilia mambo ...
-
Mtego wa Utajiri
Je! Inaeleweka au haieleweki mtu ambaye anakiri kuwa Mkristo, kuwa na akiba kwa ajili ya kustafu wakati bado kuna watu duniani ambao wanakufa na njaa na hata karibu yake, ...
-
Building Lasting Relationships
Relationships can be one of the most enriching or one of the most destructive parts of our lives. Depends on the sorts of relationships we enter into and build. Join Berni Dymet ...
-
Utamfananisha na Nani?
Leo ni siku ya Jumapili tena. Kwa wamoja, ni mwisho wa wiki, kwa wengine ni mwanzo wa wiki inayofuata. Haijalishi uko kwenye kundi gani, tusherehekee kwa pamoja ...
-
Mungu Akubebaye
Ulimwenguni ambamo kila kitu kinalenga mafanikio, sio rahisi kutokujiona kwamba hufai. Si tunakusudiwa tuwe watu wenye uwezo na wa kujitegema? Tunakusudiwa tufanikishe ...
-
Kanyaga Njia Iliyo Sahihi
Safari ya maisha ina makona mengi na ina njia panda nyingi pia. Bila shaka, ukiangalia nyuma, unaweza kuona jinsi maamuzi madogo kwenda huku badala ya kwenda huko, yaliweza ...
-
Injili Yenye Ukinzani
Kwa kweli, kuna wakati habari njema hii of Yesu inasikika kama si habari njema hata kidogo. Kwa kuwa yeye mwenyewe aliahidi kwamba kuwa mwanafunzi wake kutakuwa kazi ...
-
Neema ya Mungu
Mambo mengi maishani yanatakiwa mtu awe na juhudi nyingi kwa sababu ni kazi ngumu. Ndoa zinazopendeza hazitokei hivi hivi tu, bali zinahitaji wanandoa kujitahidi sana. ...
-
Piga Mbio Katika Mashindano
Katika maisha haya, kuna wakati kila mmoja wetu anataka kuacha majukumu na kujiudhuru. Inaweza kuwa katika ndoa yako, kazini ulipoajiriwa, hata safari yako ya imani. ...
-
Uovu Uliomo Ndani Yetu
Uovu ni mwingi sana ulimwenguni mwetu. Kiburi, ubinafsi, jeuri, ukatili … utengano katika jamaa, mataifa wakipigana, maskini na waliotengwa kutupwa pembeni kama ...
- Enjoying The Content? For the price of a cup of coffee each month, you can enable Christianityworks to reach 10,000+ people with a message about the love of Jesus!
-
Escaping from the Siege
With everything we have going on in our lives, we can sometimes get to a point where we feel as though we’re under siege – everything is conspiring together to rob us of life. ...
-
Usipuuze Dalili Hatarishi
Nadhani tungekubaliana kwamba ni mtazamo mzuri kujaribu kutafuta yaliyo mema ndani ya watu wengine, tukiangalia uwezekano wao na kuchukuliana nao katika mapungufu waliyo nayo – ...
-
Kufuta Kabisa Umbeya
Umbeya una uwezo kumharibia mtu sifa. Udaku kidogo hapa, mnong’ono pale na baada ya muda mfupi tu, kiwanda kile cha umbeya kinaanza kutoa uvumi wake kwa wingi. Ni ...
-
Tusiwatupie Watu Mawe
Tukimwona mtu mwingine akitenda mabaya, mara nyingi tunafikiri ni wajibu wetu kumtupia mawe. Ni huzuni kabisa kwa sababu mwitikio huo unaonekana zaidi kwa Wakristo kuliko ...
-
Kipofu Kuongoza Kipofu
Kuna hatari iliyo dhairi tena huwa iko daima kwa watu wanaoweka tumaini lao kwa mtu au kwenye kitu, wakiwemo Wakristo …..,ni kwamba wanaweza kutumia imani yao kutenda kitu cha ...
-
Jinsi Unavyokuwa Mkarimu
Je! Utakwazika nikikuuliza swali hili? Je! Wewe ni mkarimu kiasi gani kwa kusaidia watu wengine? Wakati unamwona mhitaji, mara moja mwitikio wako ukoje? ...
-
Unavyowaadhibu Wengine
Je! Tuwe na mwitikio gani wakati watu wanatukosea? Mtu atakabilianaje na wenye kumwudhi, watu wasiompenda, wanaomdhalilisha? Nijibu, wewe binafsi unafanyaje? ...
-
Aliye Mwema Kuliko Wote
Watu wanaweza wakatofautiana kwa jinsi walivyo na akili. Pengine wewe una kipaji fulani wakati jirani yako anacho kipaji kikubwa tofauti kabisa. Ndivyo ilivyokusudiwa ...
-
The Faces We Wear
We all put on different faces from time to time. Sometimes knowingly and sometimes without even realising it. Now the problem is that the face is supposed to reflect the heart. ...
-
Katika Njia ya Haki
Mara tena na tena, uchunguzi umegundua kwamba kampuni zinazoendelea kufaidika miaka nenda rudi, kwamba utendaji wao u katika maadili – yaani ni waaminifu, wanawatendea haki ...
-
Usiwe Mvivu
Je! Ni lini haja ya kupumzika inaweza kuwa udhuru wa uvivu? Sisi sote tunahitaji kupumzika baada ya kazi ngumu, lakini ni vigumu kutofautisha mapumziko halali na ...
-
Usishangae
Kwa kweli, hakuna kukwepa yanayoletwa na mauti. Mtu hapumui tena, moyo unasimama, damu haitembei tena, bongo inakufa na tangia muda ule, mwili unaanza kuoza. Yaani ni ...
-
Uhakika wa Wokovu
Watu wengi sana wamechanganikiwa kuhusu kigezo kikubwa, kigezo pekee cha kupata uzima wa milele. Wachache wanasema hivi, Mimi sijawa mtu mbaya sana, nitakuwa salama ...