... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Hekima ya Kale (6)

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Tito 2:9,10 Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu, wasiwe waibaji; bali waunonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.

Listen to the radio broadcast of

Hekima ya Kale (6)


Download audio file

Kuna wakati maisha yetu yanakuwa kwenye mazingira magumu, mambo yanakuwa hayako vizuri; halafu wakati mambo yanapokuwa kinyume yeye Mungu anakusudia tuishi katika ushindi, wala tusishindwe.

Ushindi katikati ya mazingira magumu – inawezekana kweli? Kwasababu, tunapokabiliana na matatizo, maana ya lile neno”ushindi” ni kwamba tupaswa tushinde na mazingira yale yaondoke. 

Lakini mara nyingi tunapokuwa jangwani, badala ya Mungu kutuondoa Yeye huwa anapenda kutuonyesha njia ya kupita kutoka kwenye majaribu. Kwasababu anataka kutufundisha namna mtu anavyoweza kuishi maisha ya ushindi katikati ya matatizo, hapo  ndipo tabia njema ya mtu huwa inatengezwa. 

Hayo ndiyo yaliYOkuwa mazingira ya watumwa zamani kwenye karne ya kwanza baada ya Kristo wakati Maandiko haya yanaandikwa: 

Tito 2:9,10  Watumwa na wawatii bwana zao, wakiwapendeza katika mambo yote; wasiwe wenye kujibu, wasiwe waibaji; bali waunonyeshe uaminifu mwema wote, ili wayapambe mafundisho ya Mwokozi wetu Mungu katika mambo yote.

Mahali pale, kulikuwa na maana ya kutenda mema; ilikuwa watumwa kuonyesha kupitia huduma, na kwa kujitoa na kunyenyekea na kuwa waaminifu kwamba ni watu wa kuaminiwa.  Ilikuwa na maana ya kuangaza nuru ya Kristo ndani ya maisha ya watumwa wenzao na hata kwa bwana zao.  Ilikuwa na maana ya kuonyesha kwamba Mungu ni mwema. 

Sasa ushindi wa namna hiyo ndio ushindi unaotakiwa uonekane pale jangwani tulipo wewe na mimi. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.


We use cookies to improve your browsing experience, analyse site traffic & personalise content, but we do not track you when you leave this site. To find out how we utilise & protect your data, check out our "Privacy Policy".

Privacy Policy

Make your gift monthly to share more Living Hope!

Hearts are open to Jesus at Easter. Your monthly support will help reach millions around the world to share the hope of Christ.

Make it Monthly