... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kuna MabadilikoYoyote?

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

Waefeso 4:18,19 ... akili zao zimetiwa giza, nao wamefarikishwa na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo ndani yao, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao; ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya ufisadii wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa kutamani.

Listen to the radio broadcast of

Kuna MabadilikoYoyote?


Download audio file

Yesu alipokuwa anatembelea njia zenye vumbi Israel karne ile ya kwanza, alisema na kutenda mambo ya ajabu yenye nguvu. Watu wengi mno waliguswa na walibadilishwa.  Na ndio lengo lenyewe pale mtu anakutana na Yesu, inatakiwa maisha yake ibadilike.

Ni ajabu kuona namna sisi kwa upande mmoja, tunataka kuboresha maisha yetu lakini kwa upande mwingine hatutaki kuachana na mambo yanayoharibu maisha yetu na kuzuia tusibadilike na kukua. 

Yesu anamaneno yakupambana moja kwa moja na dhambi zetu, wewe na mimi.  Kuna wakati maneno yake yanaingia kweli mioyoni mwetu.  Lakini kuna wakati tunakuwa na moyo mgumu, tusiyapokee na tunakula hasara sisi wenyewe. 

Najiuliza, kama umewahi kuwa hivyo.  Sijui kama utakuwa muwazi kujibu maswali yafuatao, tangu ulipokutana na Yesu umekuwa na mabadiliko gani kwenye maisha yako?, Je! Umebadilishwa kiasi gani?

Kuhusu wale ambao hawajamruhusu Kristo kuingia mioyoni mwao, Mtume Paulo aliandika yafuatayo: 

Waefeso 4:18,19 … akili zao zimetiwa giza, nao wamefarikishwa na uzima wa Mungu, kwa sababu ya ujinga uliomo ndani yao, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yao; ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya ufisadii wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa kutamani. 

Kumbe!, Ni mhatasri wenye hukumu kabisa na sasa swali la kujibu liko wazi ambalo kila mmoja wetu anapaswa kulijibu, Je!, Ni kwa kiwango gani maneno hayo ya hukumu yananitambulisha mimi?  Imesemekana kwamba kanisa ni kama hospitali. 

Je! Yesu amesababisha mabadiliko kiasi gani katika maisha yako? 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.