... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Kilicho Muhimu Zaidi

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

1 Wakorintho 15:3-6 Kwa maana naliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara; baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala.

Listen to the radio broadcast of

Kilicho Muhimu Zaidi

Download audio file

Je!  Karama ya uzima wa milele una thamani gani kwako?  Ebu fikiria kwanza.  Usiangalie milima na mabonde ya maisha yako yalivyo leo, bali jaribu kukazia macho karama ya uzima wa milele?  Je!  Karama hiyo, unaithaminije?

Natumaini kwamba ahadi ya kuishi milele mbele za Mungu inathamani kubwa kwako.  Lakini si karama itakatolewa kwa kila mtu.  Hautapewa kwa sababu ulipendwa na watu au ulikuwa mkweli na mwadilifu. 

Karama ya uzima wa milele ni kwa ajili ya yule ambaye anaamini kwamba Yesu ni Mwana wa Mungu, alikufa kwa ajili ya dhambi zetu halafu akafufuka ili upate maisha mapya, ambayo utaishi nayo daima na milele.  Mtume Paulo aliieleza hivi, miaka mingi iliyopita: 

1 Wakorintho 15:3-6  Kwa maana naliwatolea ninyi hapo mwanzo yale niliyoyapokea mimi mwenyewe, ya kuwa Kristo alikufa kwa ajili ya dhambi zetu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alizikwa; na ya kuwa alifufuka siku ya tatu, kama yanenavyo maandiko; na ya kuwa alimtokea Kefa; tena na wale Thenashara; baadaye aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano pamoja; katika hao wengi wanaishi hata sasa, ila baadhi yao wamelala. 

Paul alisema kuwa hayo ni  “mambo ya msingi” najua kwamba una changamoto nyingi leo hii.  Lakini usipoweka imani yako ndani ya Yesu, karama ile ya uzima wa milele haitakuwa yako. 

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.