... helping you be all that God made you to be, because He plans on shining His light into this world through you.

Berni - ceo, Christianityworks

Bwana Asimame Upande Wako

We're glad you like it!

Enjoying the content? You can save this to your favorites by logging in to your account.

Register or Login

Add to Favourites

2 Timotheo 4:16-18 Katika jawabu langu la kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu, bali wote waliniacha; naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo. Lakini Bwana alisimama pamoja nami akanitia nguvu, ili kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, hata wasikie Mataifa yote.

Listen to the radio broadcast of

Bwana Asimame Upande Wako


Download audio file

Tukijaribu kuishi kila siku kwa kumheshimu Mungu tu na kumfuata Yesu popote pale anapotuongoza pamoja na kujiepusha na uovu unaoenezwa na dunia hii:

Miaka iliyofuata kifo, ufufuo na kupaa kwake Yesu, wakati Ukristo ulikuwa unazaliwa kutoka dini la Uyahudi – wengi walifikiri kwamba “Injili”, yaani Habari Njema ya Yesu, ilihubiriwa watu wa Mataifa.  Kwa vyo vyote, Wayahudi si walikuwa watu walioteuliwa na Mungu? 

Mtume Paulo aliitwa kupeleka Habari Njema ya Yesu kwa wale wale; yaani Mataifa.  Sikiliza ilivyoendelea na hatima yake: 

2 Timotheo 4:16-18  Katika jawabu langu la kwanza hakuna mtu aliyesimama upande wangu, bali wote waliniacha; naomba wasihesabiwe hatia kwa jambo hilo.  Lakini Bwana alisimama pamoja nami akanitia nguvu, ili kwa kazi yangu ule ujumbe utangazwe kwa utimilifu, hata wasikie Mataifa yote; nami nikaokolewa katika kinywa cha simba.  Bwana ataniokoa na kila neno baya, na kunihifadhi hata nifike ufalme wake wa mbinguni.  Utukufu una Yeye milele na milele.  Amina. 

Sasa wakati unajaribu kuishi kwa utulivu na wema ukimtii na kumwamini Yesu, ukikaa na wenye dhambi, si kwa kujifanya kutoona tabia yao bali ni kwa lengo la kuwashirikisha upendo ule Mungu anaowapenda, Usihofu Bwana atakuhifadhi hadi mwisho.

Hili ndilo Neno la Mungu safi na lenye afya kwa ajili yako leo.